Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
wakuu!hali mbaya jamaa wametubana sana!hatukai kabisa na mpira!
Kwa dizaini hii UBINGWA wenu mazee...... hamuwezi kubebwa this much openly
Na kwa maoni yangu bora kusiwe na hata hizi mechi inakera sana na leo siajabu watapewa goli la offside!
maoni yako ya ajabu sana!halafu mechi zisipokuwapo ndio nini sasa?
Haki ya mtu haipotei bali huwa inachelewa tu pipooooZzzzzzzzzz
Mpewe tu kombe maana mnabebwa sana
kaka unajua kuwa haupo ktk lile jukwaa lako la jokes?hili ni jukwaa la sports ongea ki-sport mkuu!
haya!haters wote karibuni mjimwaye hapa mtuseme mtakavyo!jukwaa lenu sasa!