Arsenal hawanahaja ya kumuelewesha mtu, wenye macho wanaelewa kila kitu!
haya!haters wote karibuni mjimwaye hapa mtuseme mtakavyo!jukwaa lenu sasa!
Kama sio sisi kuwapigia city sijui ingekuwaje!?
Tatizo mna kiherehere cha kufanya kazi isiyowahusu, kazi ya kumshughulikia Man City tuachieni sisi wenyewe tunajua tutakachomfanya April 30, na ndo tunapotangazia ubingwa
Tatizo mna kiherehere cha kufanya kazi isiyowahusu, kazi ya kumshughulikia Man City tuachieni sisi wenyewe tunajua tutakachomfanya April 30, na ndo tunapotangazia ubingwa
mboni unajihami ndugu its a football bwana..
Mbu bana,utasema hata zile 8 tulibebwa.Mafanikio yetu yanachangiwa na wengi Arsenal,Swansea,Norwich,Chelsea,NewcastleMfarisayo bana, hahaha....
Nyie Man U yale matokeo ya jana ndio TBS ya timu yenu msimu huu,
mkishinda basi utake usitake % kubwa inakuwa mmechangiwa na maamuzi
ya refaree ambao wengi ni ManUre fans & supporters...
Haya, kazeni buti basi..msijekuwa kama Madrid bure...walikuwa 10pts clear,
sasa wakijikwaa tu Barca haooo...
Mimi msimu huu nawatakia nyie Ubingwa, ManCiteh wakome kuchukua wachezaji
Arsenal.
Kwekwekwekweeeeeee! Wamewalamba hawajawalamba?
wamelambwaaaa: kotekoteeeeeeee tena wameanza fagie
Kama Wigan wameweza, Aston Villa washindwe wana nini?