Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Refa kaharibu ladha ya hii game, nywys, lawama kwa lineman kwanza, al n al shits happens n futbal, hata jana bluz walibebwa, so let move on. M akil iko kwa asenane tu.
 
Waamuzi wanaharibu ligi. No wonder timu za England fair poorly in Europe, including their national team.
 
Katoa penalt hewa badala ya offside na kamtoa mtu kwa red card cause of the fake penalt.
 
Katoa penalt hewa badala ya offside na kamtoa mtu kwa red card cause of the fake penalt.
Hiyo sasa noma...kwa kweli sasa wanahitaji kuongeza ma linesmen au kutumia teknologia ya kisasa kugundua vitu hivi...!
 
Ila I'm a Man U Fan ila Najaribu kuimagine Ile Kadi Nyekundu angekuwa Mwasika Pale ha ha ha. Ile haikuwa Kadi jamani. Ila Tumeshinda
 
Hongera Man United!

Kazi iko Emirates sasa, wakitoka sare au "shitty" wakilala pouwa sana kwetu!
 
Ila I'm a Man U Fan ila Najaribu kuimagine Ile Kadi Nyekundu angekuwa Mwasika Pale ha ha ha. Ile haikuwa Kadi jamani. Ila Tumeshinda

haikuwa kadi nyekundu wala pengine haikustahili kuwa penati kwa sababu mchezaji wetu alikuwa offside!sasa tumepewa tufanyeje?
 
Ile haikuwa Kadi jamani. Ila Tumeshinda

Waamuzi pia hufanya makosa, Ingawa makosa yao huathiri sana Timu zinazopokwa ushindi! Kwa leo hata asingekosea maji "yalishazidi unga!"
 
Back
Top Bottom