kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
Duh nimeshabikia man u kwa dakika 90 nimeteseka sana sasa sijui washabik wa kudumu wa man u wanaishije
Lingard ni mjinga kupindukiaaa

Duh nimeshabikia man u kwa dakika 90 nimeteseka sana sasa sijui washabik wa kudumu wa man u wanaishije
Lingard ni mjinga kupindukiaaa

Ole hawachekei anawalia timing ili amalize nao ligi na kama kuna chochote cha kum offer wampe. Ila ligi ikiisha naamini kuna wachezaji wengi atawapiga panga. Kosa kubwa walilofanya ni kuongeza mikataba ya kina smalling,Jones, Young etc. Hiyo inaonyesha kwa upande mwingine ni namna gani timu haina malengo ya kuelewekaThese are the same players who threw Mou under the bus, they will do exactly the same to Ole. It's just a matter of time.
Ole ataanza kuhukumiwa kuanzia mwisho wa msimu. Mwache aendelee kuwachekea wachezaji.
Niliwahi sema kuhusu hilo enzi hizo ila kuna mdau alinicharukia utadhani yeye ni agent wa PogbaHawa wachezaji wasipotolewa.. circle ile ile itaendelea. Kibur wanacheza vixur siku wakitaka. Tabia hii imeanzishwa na pogba
Ha ha ha ha jamaa umechukia sanaLingard hana tofauti na juma mahadhi wa yanga
Mkuu Mou alipaswa kwenda tu, muda ulifika wa yeye kuondoka, timu ilikuwa haipati matokeo, uhusiano wake na wachezaji ulizorota na hata uchezaji wa timu ulikuwa sio mzuri...... , Ninaamini Jose ni moja ya makocha bora waliopo (japo style yake haivutii sana) lakini kuna jambo lilipaswa kubadilishwa pale UnitedMkuu tumrudishe Mou mapema ..Mou hafungwi Mara mbili na timu ile ile ..
Ila mlikurupuka Sana kumtimua Jose na kumpa mkataba uyu Ole
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Acha masihara tulikurupuka kumtimua jose.?Mkuu tumrudishe Mou mapema ..Mou hafungwi Mara mbili na timu ile ile ..
Ila mlikurupuka Sana kumtimua Jose na kumpa mkataba uyu Ole
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mwingine kasema wamekuwa mashetani mashogaAiseee umenivunja mbavu kichizi Mkuu kwamba Man U toka kuwa mashetani mpaka manyau![]()
Jose alikuwa hovyo kabisa katika uchezaji na sijutii yeye kuondoka ila alikuwa sahihi kwa asilimia mia moja katika Yale alokuwa anaongeaMpaka sasa nadhani tutakubaliana kuwa,
Man Utd wana tatizo kubwa kuliko, tatizo la kocha
Jose was right through and through
Mwingine kasema wamekuwa mashetani mashoga
Niliwahi sema kuhusu hilo enzi hizo ila kuna mdau alinicharukia utadhani yeye ni agent wa Pogba
Naamini Ole anaweza kufanya vema ila apewe hela ya kutosha cyo pauni mil 200/250 asajili akishindwa tumhukumu. Mou ule mpira wake hapana aseeMan united ni timu yenye profile kubwa sn duniani ht kocha anaetakiwa kuinoa ni lazima awe na profile kubwa pia. Profile la mou ni kubwa na ndo mana ninaamini km mou angecklzwa na ed wood man united ingetisha. Ole gunnar anajua tu utamaduni wa united lkn profile lake ni dogo sn kuifundsha timu kubwa km united. Timu yenye makombe 20 ya ligi kuu england ifundshwe na kocha ambae hajawah kutwaa ubingwa wa ligi zile kubwa pale ulaya huo ni uongo
Pale Man U walijifanya kujikakamua tu alipoondoka Special One ili kumsahihisha kuwa si kocha bora lkn muda ni jibu tosha kuwa Mourinho alikuwa sahihi kabisa kwa yote aliyokuwa anayongea kuhusu udhaifu wa kikosi cha Man U.Jose alikuwa hovyo kabisa katika uchezaji na sijutii yeye kuondoka ila alikuwa sahihi kwa asilimia mia moja katika Yale alokuwa anaongea
Pogba huenda kuwa ana kipaji lakin attitude is 0.
Mou was right. Pogba is the virus
Tatizo siyo pesa kutolewa tatizo ED atakuwa tayari kutoa mzigo wa kutosha ili msafishe kikosi chote kama walivyofanya Man City wakiwa na Pep kwa kusajili wachezaji 11 japo Pep aliikuta Man City ilishatinga nusu fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE?Naamini Ole anaweza kufanya vema ila apewe hela ya kutosha cyo pauni mil 200/250 asajili akishindwa tumhukumu. Mou ule mpira wake hapana asee
Aliyewaongeza mikataba kina Smalling ni OGSOle hawachekei anawalia timing ili amalize nao ligi na kama kuna chochote cha kum offer wampe. Ila ligi ikiisha naamini kuna wachezaji wengi atawapiga panga. Kosa kubwa walilofanya ni kuongeza mikataba ya kina smalling,Jones, Young etc. Hiyo inaonyesha kwa upande mwingine ni namna gani timu haina malengo ya kueleweka