Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angekuwepo Mournho hii game ingeisha droo au city apigwe. Hii mambo ya nje-ndani Mournho hanaga na united isitoshe yupo home

Kacheza kama yuko ugenini,man u imeisha wamebaki washabiki tu.wakija kushtuka wawekezaji hao wamekimbia.
 
Sawa

Sasa usioneshe kama vile yeye kumfunga Man ni ajabu

Kiuhalisia hii mechi ilitegemewa Man atafungwa kuliko game ya Everton, kuliko ya Wolves na kuliko ya Arsenal

Pschologicaly United fans walijiandaa kufungwa hii game kuliko hizo nilizotaja hapo juu

Naelewa maneno yako yanasababishwa na Liverpool fans kuwa desperate Man Utd amnyang'anye points City, ila ndio hivyo City ametuzidi ......... Kama alivyozidi wengine
 
IMG_5146.JPG
 
These are the same players who threw Mou under the bus, they will do exactly the same to Ole. It's just a matter of time.

Ole ataanza kuhukumiwa kuanzia mwisho wa msimu. Mwache aendelee kuwachekea wachezaji.
 
Maisha yanaenda kasi sana,yan man u wamekua mdebwedo kiasi hiki,watu wanajipigia tu tena pale pale ot,mmenikera sana manyau kwa kunipotezea usingizi wangu,na msipoangalia msimu ujao mtakua level za kina burnley,yan mmetoka kuwa mashetani mpaka kuwa manyau!dah!
 
Back
Top Bottom