Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

InShot_20190424_191145233.jpg
 
Mkuu Mou alipaswa kwenda tu, muda ulifika wa yeye kuondoka, timu ilikuwa haipati matokeo, uhusiano wake na wachezaji ulizorota na hata uchezaji wa timu ulikuwa sio mzuri...... , Ninaamini Jose ni moja ya makocha bora waliopo (japo style yake haivutii sana) lakini kuna jambo lilipaswa kubadilishwa pale United

Kuhusu kumpa mkataba OGS, nadhani kama ni uamuzi wa kumpa mkataba ilibidi tuufanye mwisho wa msimu sio sasa.

Ninaamini OGS ni kocha mzuri, lakini tulikuwa na fursa ya kumpata kocha mzuri zaidi anayeitwa Pochetino

Lakini Ed alichagua cheap option

Lakini OGS anapaswa kupewa muda badala ya kuhukumiwa mapema, apewe hela, asajili, aende pre season kuandaa timu kisha tuone mwenendo wake

Ila Mkuu jumapili nakukalisha
Ukinikalisha basi top four utaingia. Ukizingua ndo basi tena ...

Either Chelsea or draw..
 
Sometimes watu tunatakiwa tuweke mapenzi pembeni na tuwe kwenye uhalisia Mou sio kocha mbaya na ana profile kubwa lkn profile yako hakifanyi hata kama kuna wakati unafanya vibaya uachwe uzidi kuiangamiza timu kisa profile yako.

Kumbukeni Mourinho ameipa sana Chelsea mafanikio tena zaidi ya United lkn alipofanya vibaya akatimuliwa tena katika vipindi viwil tofauti hivyo hvyo alipoenda Real Madrid.

Alaf kitu kingine kuwa mourinho alipewa funds mata nyingi kusajili lkn akawa ana sajili wachezaj ambao wanakuja kukaa benchi huku akiwa kawasaini yeye mwenyew then ana demand tena apewe fungu. Mfano huwez nunua center back kila msimu then wakija united wanakaa benchi alaf unatumia wale wale wabovu uliowakuta na pia kupoteza bure pesa za club.

Alifanya hivyo kwa Erick Bailly akaanza fresh akaishia benchi akaenda kwa Lindelof mpk anaondoka alikuwa ameshindwa kumtumia na alikua akitaka beki mwingine,kamnunua Mikhitaryan kashindwa kumtumia zaidi kamuua kabisa,katuletea galasa Lukaku kwa mihela kibao mwishowe hovyo, then kaenda kutuharibia timu kwa kutuletea mfanyakazi hewa ambaye kaja kutuharibia timu kwa kulipwa pesa kibao alaf soka hakuna, akatoka pia akaenda kununua promising player na sio complete Diogo Dalot kwa £19m akiwa kacheza michezo nane tu pale Porto, club ikampa hela then akaenda kusajili golikipa mzee namba 3 Lee Grant wkt tunao watoto mafundi akina Joel Pereira, Dean Henderson.

Kwa pesa na back up alipewa vizur sema naweza sema kwetu alikua hana jipya.

Ukitazama hata jana kama mlikuwa hamjui wapenzi Mou tulifungwa mabao mawili na City ambayo tofauti ya thaman ya vikosi ni £13m. Man city £441m na Man united £427m lkn hatuwasogelei kwa uwezo hata robo utafikili kikosi chetu cha paundi £20m na wachezaj hao walionunuliwa wote kawanunua Mou.
 
Nakukumbusha tu mechi yao ya mwisho dhidi yetu tulikula 2-0 darajani, so usituletee gundu la Aroon kujitapa kabla hatujavuka mto
yani hii manure inapigwa nne na Everton ndo itufunge? Hawa wanakula tano kavu ..wakipambana na sana watapata angalau goli moja na short on target mbili..
 
Alaf kitu kingine kuwa mourinho alipewa funds mata nyingi kusajili lkn akawa ana sajili wachezaj ambao wanakuja kukaa benchi huku akiwa kawasaini yeye mwenyew then ana demand tena apewe fungu. Mfano huwez nunua center back kila msimu then wakija united wanakaa benchi alaf unatumia wale wale wabovu uliowakuta na pia kupoteza bure pesa za club.
jose mourinho amenunua walinzi wawili tu wakati kwa misimu mitatu aliyokaa klabuni ambao ni eric bailly na victor lindeloff,
sasa jiulize wewe hao walinzi wawili kwa kutumia hiyo hoja yako je wana uwezo wa kucheza misimu mitatu mfululizo bila ya kuwepo wengine?

Msimu wake wa kwanza mr lindeloff hakucheza vizuri pengine ilichangiwa zaidi na mazingira ya ligi kuu ndio maana akawa anakaa benchi.

upande wa eric bailly msimu wake wa kwanza ndiye alikuwa mchezaji wetu muhimu mwanzoni mwa msimu na alikuwa regular starter, eric amepoteza muelekeo mwishoni mwa msimu uliopita kutokana na majeruhi ya mara kwa mara na hata performance yake msimu huu ilikuwa ni dhaifu tokea jose yupo na mpaka muda huu hayupo ndio maana special one alikuwa anamweka nje.

kuwekwa kwa benchi kwa mchezaji aliyesajiliwa kwa fedha nyingi si ajabu na mifano ipo mengi kama vile gareth bale, alvaro negredo, ryad mahrez, mangala, bony wilfred, ousmane dembele, felippe coutinho.

ulitaka jose afanye nini wakati matajri wameendelea kuwashikilia wachezaji aina ya jones, darmian na wengineo?

mwaka huu nashuhudia mambo ya ajabu sana kutoka kwa mashabiki wenzangu wa manchester united
  1. anashinda ole gunnar solskjaer anatukanwa mourinho
  2. anafungwa ole gunnar solskjaer anatukanwa mourinho
 
Ole hawachekei anawalia timing ili amalize nao ligi na kama kuna chochote cha kum offer wampe. Ila ligi ikiisha naamini kuna wachezaji wengi atawapiga panga. Kosa kubwa walilofanya ni kuongeza mikataba ya kina smalling,Jones, Young etc. Hiyo inaonyesha kwa upande mwingine ni namna gani timu haina malengo ya kueleweka
Kama waliweza vunja mkataba na Mou, sidhani kama itakuwa shida kuvunja mkataba na Jones.
 
Naumia mno na izi rekodi jamani yani kila kocha anakuja na rekodi yake.....
Screenshot_20190425-180210.jpeg
Screenshot_20190425-175943.jpeg
 
Hii tabia ya kuendwkeza utaifa kwenye vilab ndio ilifanya liverpool kupotea kwa muda mrefu.. mpaka walipo punguza idad ya waingereza kwenye team.

Yeye anarudi kosa lilelile lilolompoteza liver kipind cha nyuma. Atafakar sana
Rashford. Lingard. Smalling. Young. Jones.

Hawa lazima wamfukuzishe kazi Ole.
 
Alifanya hivyo kwa Erick Bailly akaanza fresh akaishia benchi akaenda kwa Lindelof mpk anaondoka alikuwa ameshindwa kumtumia na alikua akitaka beki mwingine,kamnunua Mikhitaryan kashindwa kumtumia zaidi kamuua kabisa,katuletea galasa Lukaku kwa mihela kibao mwishowe hovyo, then kaenda kutuharibia timu kwa kutuletea mfanyakazi hewa ambaye kaja kutuharibia timu kwa kulipwa pesa kibao alaf soka hakuna, akatoka pia akaenda kununua promising player na sio complete Diogo Dalot kwa £19m akiwa kacheza michezo nane tu pale Porto, club ikampa hela then akaenda kusajili golikipa mzee namba 3 Lee Grant wkt tunao watoto mafundi akina Joel Pereira, Dean Henderson.
mkhitaryan hata huko arsenal kunaelekea kumshinda kiuchezaj, target ya kwanza kwa manchester united alikuwa ni griezmann lakini bahati mbaya athletico madrid walifungiwa kusajili hivyo basi ikawa vigumu kwa griezman kuondoka, man utd wakatuma ofa kwa alvaro morata lakini mazungumzo kati ya madrid na wawakilishi wa manchester united yakawa ovyo.
tumemkosa mgonjwa morata tumempata afadhali lukaku.ambaye cv yake ni kubwa nchini uingereza
mkuu bado unalalamika?
timu yako haitengenezi nafasi hata moja ya goli unakuja kumlaumu lukaku.
timu yako imejaza vikatuni unakuja kumalumu lukaku asiyepewa nafasi ya kutosha.
je hii ni sawa?​
 
Back
Top Bottom