Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

.
Sasa naweza kulala.
Mashabiki wote wa Liverpool, nipm namba yako nitume kifuta machozi.

Glory Glory Manchester United.
Mnajifariji!!!
Ukweli ni kuwa uwezo wa Man United kama team ni mdogo sana, kiwango kibovu, wachezaji hawajitumi (labda ndo uwezo mdogo wenyewe) na team inacheza bila mipango.
Poor Olesendeka, Poor Manyau.
 
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah GO GO GO MANCHESTER UNITED GLORY GLORY MAN UNITED Hahahahahahahahah
Let's go United ........Second half....... Ikibaki hivi hivi kesho Asubuhi pweeeeeee Kununua kitambaa cha SUTI.
Mkuu pumzika sasa hahahahahahaha.... Mm nliwaambia sisi Manchester United hatuna timu ya kumfunga city poleni Liverpool nnaenda mwaka wa 30 bila kombe hahajaha
 
Kongole kwa Team zote mbili kufanyikisha matokeo haya na kuendelea kuwafanya mashabiki wa Liverpool Tanzania washindwe kushuhudia team yao ikibeba epl live waendelee na kumbukizi za ubingwa kupitia you tube videos
 
Vile mashabiki wa Liver wakicheki matokeo
IMG_20190424_233552.jpg
 
Ina impact kubwa sana. Jamaa alikuwa anaipenda sana Chelsea na alikuwa hajiulizi kwenye kununua wachezaji au kufukuza kocha.

Baada ya kupigwa ban hata game haji kuangalia, uwanja kasitisha plan za ujenzi.

Na utaona Sarri msimu ujao yupo, kitu ambacho siyo kawaida.
Tatizo la Chelsea sio uwepo wa abramovich uwanjani, kwani si alikiwepo kabla ya ban na timu ilisuasua sana?

Mpaka sasa kuna ishu gani baina matajiri wa city na wazungu. Au ulitaka ukibreak laws uachiwe tu?

Abramovich was long in greylist ya western world tangu alivotake over kutokana na relationship yake na russian government.

Chelsea imedrop kutokana na player power, na ichi kinasumbua Manutd na kirusi wetu ni Pogba hypocrate.

Man city will never fall because of arabs
 
I hate Ole but for this nampa 100%

Mourinho alimzuia liverpuli kuchukua ubingwa akiwa Chelsea, the same Ole anachokifanya hapa.
Kamzuiaje?pambaneni na hali zenu.kwani ligi imeisha leo
 
Duh nimeshabikia man u kwa dakika 90 nimeteseka sana sasa sijui washabik wa kudumu wa man u wanaishije


Lingard ni mjinga kupindukiaaa
Wanaishi simple tu walivuomtoa wanaishi mashabiki wa Liverpool ya Brenden rogers
 
Back
Top Bottom