Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahahahahahahhahahahahahahahah GO GO GO MANCHESTER UNITED GLORY GLORY MAN UNITED Hahahahahahahahah
Let's go United ........Second half....... Ikibaki hivi hivi kesho Asubuhi pweeeeeee Kununua kitambaa cha SUTI.
 
City itarudi kuwa kama Chelsea wakati tajiri ni muarabu au unadhani Waingereza wana uadui kwa waarabu kama ambavyo wanawadiss warusi
Yaani wewe unafikiria kuwa wazungu wana bifu na waarabu matajiri?

Chelsea imeshuka sio kwa sababu abramovic ana ban kwenye soka ama anaandamwa. Iweje aandamwe juzi wakati yupo kitambo akiinua timu kutoka uingereza?
 
WTF is brand/branding?

Doesn't coca cola don't have a big brand? Then why the hell are they keep on wasting money on advertisements?

Then what about Pespsi?

Ommo (soap)?

Blue band?

Etc.

Brand my ......
Lol!!

Clearly hujui its power, why bother arguing?

And by the way, ads are there to tell you about the new product or to remind you the company is still existing.

Sasa wewe tengeza soda nzuri afu usijitangaze uone!
 
Lfc tunatia kambi humu tunaacha uzi wetu tumekuja kuidiscuss UNITED yetu kwa muda come on boys GGMU teh teh teh .


Maisha bila unafiki hayaendi
Yaan leo raha sana washabik wa man u wanakuwa washabiki wa city afuu sisi wa LFC tunakuwa wa MAN U
Sasa mbona mnakuwa wanafik? Mmesema kuwa favour tujifanyie wenyewe na sio liverpool. Na kama hatujamzuia city leo kombe hamlichukui. 😀
 
Yaani wewe unafikiria kuwa wazungu wana bifu na waarabu matajiri?

Chelsea imeshuka sio kwa sababu abramovic ana ban kwenye soka ama anaandamwa. Iweje aandamwe juzi wakati yupo kitambo akiinua timu kutoka uingereza?

Ina impact kubwa sana. Jamaa alikuwa anaipenda sana Chelsea na alikuwa hajiulizi kwenye kununua wachezaji au kufukuza kocha.

Baada ya kupigwa ban hata game haji kuangalia, uwanja kasitisha plan za ujenzi.

Na utaona Sarri msimu ujao yupo, kitu ambacho siyo kawaida.
 
Ikumbuke na aseno basi
Umehamia man u kwa muda? Leo man u anapigwa,,bora aende futuhi kuliko kuwapa EPL, liver ndivyo furaha yao, kama unataka kuamini man city akishinda ,mashabik WA man u watafurahi kama walivyofanya WA Everton dhid ya city
 
Back
Top Bottom