Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mi namuonaga pimbi tu humu na usishangae akarudi hapa ijumaa
Huyo sasa hivi kwetu anakuja kwa heshima.
Mi namuonaga pimbi tu humu na usishangae akarudi hapa ijumaa
Ana moyo dhaifu mno aseno wakifungwa lazima akimbie
Kazi kwishaLet's do it people. Only 45 minutes to go.
GGMU/YNWA
Na ubingwa hawaupati tena msimu huuFeenandinho out injured, Sane in
Kwani Chelsea imekuwaje? Acha ushamba mkuu...City itarudi kuwa kama Chelsea wakati tajiri ni muarabu au unadhani Waingereza wana uadui kwa waarabu kama ambavyo wanawadiss warusi
Leo pia kashakazwa 3 Bila amepotea kabisa kwenye thread yakeHahahahah alikuwa anatamba kuwa yeye ana fixture nyepesi ..naona sasa inaenda kuwa ngumu ..tena ile ngumu kumezaaa hahahahahaha
Lukaku yupo mkuu, hii mechi inaisha Draw