Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Ukombozi kwa wote 





Hahahaha hahaha AssAnal Naye kaliwaaaa hahahaha kweli Yesu kafufuka ...



Hahahaha hahaha AssAnal Naye kaliwaaaa hahahaha kweli Yesu kafufuka ...
Ukijifanya kiherehere lazima uhaimbike.Mpira huwa hauna adabu
Hahahahah alikuwa anatamba kuwa yeye ana fixture nyepesi ..naona sasa inaenda kuwa ngumu ..tena ile ngumu kumezaaa hahahahahahaUkijifanya kiherehere lazima uhaimbike.
Cheki Kama ARROON wa Arsenal. Yeye Kila mahali Ni kupiga kambi na shobo za ajabu ajabu mwishoe anabaki kimya
Unaeza kuta hata Europa tukakosa mkuu ...sisi Man u bwana!! Tena tuna Pogba ...Mara vuuu.. No Europa bwuahahahah
Sisi Man U tunataka Chelsix wagongwe na BurnleyUnaeza kuta hata Europa tukakosa mkuu ...sisi Man u bwana!! Tena tuna Pogba ...
Unaeza kuta hata Europa tukakosa mkuu ...sisi Man u bwana!! Tena tuna Pogba ...
Pia Tottenham apigwe na Brighton na Arsenal achapwe na Wolves huku maajabu yakitokea kwetu kuwaangukia majirani. Dah! Ndoto hizi...Sisi Man U tunataka Chelsix wagongwe na Burnley
Au wewe unaonaje Mkuu
Hata De gea Hanna kitu mna mu overate tuMchezaji bora ndani na man u ni de gea tu wengine hamna kitu
Tujipigieni tu.
De gea ndo mavi kabisaHata De gea Hanna kitu mna mu overate tu
naona mmeunganaHahahahah alikuwa anatamba kuwa yeye ana fixture nyepesi ..naona sasa inaenda kuwa ngumu ..tena ile ngumu kumezaaa hahahahahaha
Sidhani kama tatizo ni ogs. Tatizo ni wachezaji.Sijengi Picha Mourinho sijui Anajisikiaje huko aliko.
Katika Jambo Man United watakalolijutia ni Kumpa Mkataba OGS
Ulikuja kukesha huku. Sasa zamu yako. Nenda kaokoe jahazi inazama
Arsenal 1 vs Crystal Palace 3