Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2019-04-24-22-22-44.jpeg
 
Mechi ya leo inachangamoto nyingi sana. Tunatamani kushinda ili kujiweka pazuri kutafuta nafasi ya 3 au 4. Tunatamani kushinda ili kuwaonyesha majirani na wapinzani kwamba tunajikongoja vizuri. Tunatamani kushinda ili kufuta machozi ya mashabiki kutokana na vipigo mfululizo. Wakati huo huo hatutaki Liverpool achukue kumbe.
 
Back
Top Bottom