goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,752
Ebu mwambie naona jamaa anaongea vitu vya kusadikika.Aiseeeeeeee we jamaa sijui ungala vipi, hizo unazo ziita brana za Barca, Madrid na Utd zimejengwa na Mafanikio uwanjani kwa miaka mingi........
Alafu kuhusu city kutumia hela ndio Zama za mpira wa sasa angalia Chelsea wanavyotaka hell, Liverpool, Madrid, psg,Barca na utd, Wenger alikuwa Ni muumini wa kulea vipaji ila mwishoni ushindani ukamshinda akiwa na Asernal akaanza kuzivunja rekodi zake mwenyewe za usajili pale Asernal na bado ushindani haukuweza ndio maana akaamua kupunzika kuifunza Asernal......
Unasema City wako desperate kutumia hela, leo hi sokoni milion 50 pound hupati mchezaji.... Unataka wafanyeje sasa
Ww watu waache city washabikie man u.
Mwanangu mwenyewe alikuwa ajui mm city ila nikashangaa siku anaonhelea mambo ya city yupo darasa la kwanza

