Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ollachuga
Aaroon
Southern Highland
Ile kamati yetu ya Mazishi msibani leo mnatusika wenyewe Mimi leo naisapoti timu ya kwenye Damu Sitahusika na mazishi yenu lakini kama ni mazishi ya Manchester city hapo tuko wote kama ni ya Manchester United HAPANA.
Tayari City anaongoza huko
 
Wale mashabiki wa Utd tusihofu kabisa

Kuna mnyama anaitwa Pogba humo ndani yaani Guardiola hachomoki leo
 
Mpira ushaisha huo hakuna tena maajabu...
Msimu uliopita mou aligoma kufanywa ngazi ya ubingwa wa city msimu huu ole kakubali kilaiiiiini kufanywa ngazi ya ubingwa wa city
 
Mpira ushaisha huo hakuna tena maajabu...
Msimu uliopita mou aligoma kufanywa ngazi ya ubingwa wa city msimu huu ole kakubali kilaiiiiini kufanywa ngazi ya ubingwa wa city
I hate Ole but for this nampa 100%

Mourinho alimzuia liverpuli kuchukua ubingwa akiwa Chelsea, the same Ole anachokifanya hapa.
 
Kosa la FRED hilo.
Huyu jamaa ni garasa kama alivyokuwa Bebe halafu Ole anamng'ang'ania kila match.
Anafanya makosa sana.
 
.
Sasa naweza kulala.
Mashabiki wote wa Liverpool, nipm namba yako nitume kifuta machozi.

Glory Glory Manchester United.
 
Back
Top Bottom