Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Hiyo hapo Mkuu anza mpaka kufika mida hyo utakuwa umezoea
Shukrani mkuu, muda unaenda kasi sana.
Tunashinda.
Hiyo hapo Mkuu anza mpaka kufika mida hyo utakuwa umezoea
Cute b........Cute b........Cute b nimekuita mara tutu ..........Leo tunashinda Dada yangu usiwe na wasi wasi kabisa RelaxDooh, Leo nacheka sana.
Kati ya siku ambayo sijisumbui kubana nanilii zangu ili tushinde ni Leo.
Liverpool watafanya hivyo badala yangu.
Leo Man U tunashangaza duniaDooh, Leo nacheka sana.
Kati ya siku ambayo sijisumbui kubana nanilii zangu ili tushinde ni Leo.
Liverpool watafanya hivyo badala yangu.

Uwezo wa kumfunga City sisi hatuna.Kabisa, halafu naomba nitumie voice note ya wimbo wa Glory Man United nianze kupiga zoezi kabisa la kuimba.
Lazima tuwajulishe City kwamba hela hainunui heshima, Man Utd tutabaki juu, mawinguni.





Tutafia uwanjani leoLeo Man U tunashangaza dunia![]()
Hamna mimi Leo na wenzangu man U Damu na wakaanga sumu wote tutakuwa tunamshabikia City.Cute b........Cute b........Cute b nimekuita mara tutu ..........Leo tunashinda Dada yangu usiwe na wasi wasi kabisa Relax
Leo tunashinda nyie mamluki tuachieni team yetu bana. GGMUHamna mimi Leo na wenzangu man U Damu na wakaanga sumu wote tutakuwa tunamshabikia City.
Sisi man U hatuwezi kuharibu ujirani wetu kwa kumfunga City.
Cc chaliifrancisco.






Leo nawaona mtakavyochukia sisi Man U tukimpiga City pale OT. Mtapambana na hali zenu.timu yetu mbovu.
Leo tunashinda nyie mamluki tuachieni team yetu bana. GGMU![]()
Hivi Uzi wa City upo huku?Leo tunashinda nyie mamluki tuachieni team yetu bana. GGMU![]()





Hii inaitwa juxtaposition between fate and determinism.Kila nkifikiria kumpa kombe liva kwa sisi kumfunga city daah
Asee,i can blv am saying this but game hii bora tufungwe..
Kizazi cha dot com mkija na makelele juen mm ni shabiki wa man utd from 1995 mpaka leo na milele..
Daaamn,what a situation![]()




Wakae kando. Tutawafata kwenye uzi wao wa Man CitySisi ndiyo Man United HALISI.
Hawa mamluki watupishe.
#the sky blueLeo nawaona mtakavyochukia sisi Man U tukimpiga City pale OT. Mtapambana na hali zenu.



Hmm noma mkuu, kwa mara kwanza hata game sitaangalia,Hii inaitwa juxtaposition between fate and determinism.
![]()
WTF is brand/branding?You really dont know the power of branding!
Uliza kwanini EPL inatizamw sana na inamashabiki wengi sana kuliko Laliga wakati La liga teams ni vinara champions league? EPL ndio inabest deals kuliko La liga wakati timu za EPL zinateswa EPL?
Ivi kati ya Real madrid na MUFC nani ana more success? Na kwanini United were given the biggest deal by adidas kuliko kupewa madrid?
I am not wrong when a kid born in 2000 choose Manutd, because its all over everywhere compare to mancity! A kid ataona eeh wengi wanasupport manutd na mm nasupport manutd basi. Kwanini achague mancity basi na sio psg ambao washachukua kombex la farmers league sijui mara ngap mfululizo mana hana mpinxani ata mmoja kule!
Man city are trying to build an empire but that will not happen in this era. Clubs have more money now and they can quickly turn things around, it just needs a right decision which manutd fans are fighting for. Wengi kama sio wote wanataka ed afukuzwe na apatikane mtu anaejua football in and out ndio achukue nafasi ile. City will be another chelsea tu. Glory for few years then struggles.
To build an empire you need to win back to back titles more than 3 to gain recognition. ou need to kill competition for a few years ndio ujilikane kuwa dominant force atleast. Sio unachukua kombe kwa goal difference au 2 points!
Manutd uko nyuma aliua kabisa title contenders. Alikiwa anamuacha mtu wa pili wa mapoint mengi sana, akichukua makonbe mfululizo frequently. Lakini in this age things are different, sio rahis kujenga empire tena kila siku zikienda mbele. Na hasa kuwa Manutd is now also breaking the bank to find the solution. Mpaka sasa ivi ligi ya uingereza imekuwa unpredicatble sio kama zamani.
In 10 years usemazo city cant build an empire. Tuombe uhai na hii weka kama kumbukumbu uje unisute mkuu.