Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lfc tunatia kambi humu tunaacha uzi wetu tumekuja kuidiscuss UNITED yetu kwa muda come on boys GGMU teh teh teh .

Maisha bila unafiki hayaendi
Yaan leo raha sana washabik wa man u wanakuwa washabiki wa city afuu sisi wa LFC tunakuwa wa MAN U
 
Tupaki basi (hatuna uweza wa kuchezea mpira dhidi ya City)

Then

Tuwapige counter attack, other than that tutaabishwa

Mbinu ya counter attack itafanya kazi kwa kuwa City wapo desperate kupata goli (ushindi)

Tutaweza kushinda kama OGS ataacha upimbi wake wa kuchezesha English FC, aweke English players who deserve to start

Kutokuwepo kwa De Bruyne itakuwa ni plus kwetu

Kurudi kwa Shaw kutatusaidia sana

Midfield napendelea iwe Fred, Tominay na Pgba

Positive record, ndani ya mechi 15 za mwisho pale OT hatujafungwa hata game moja, tumeshinda 9 na kutoa draw mechi 5
 
WTF is brand/branding?

Doesn't coca cola don't have a big brand? Then why the hell are they keep on wasting money on advertisements?

Then what about Pespsi?

Ommo (soap)?

Blue band?

Etc.

Brand my ......
Achana naye jamaa anazingua, "brand is an assurance level of deliverance" inajukuwa muda Hadi watu kuja kukuamiani kuwa unaweza kudeliver what u are promising, getting people's loyalty is'nt easy, na kuendelea kuwa mantain was loyal u need to deliver(uzuri wa hatua hii,unakuwa hutumii nguvu nyingi Sana Kama wapinzani wako) yaaaani man utd tutaendelea kuvumilia(kwa muda wa Kati) city akingua TU kidogo (let say 6yrs) atapoteza washabiki(maaana bado hawajawa loyal)..... Ila in long run(20/30 yrs) man utd azingua na city afanye vizuri... Utd ataingia makumbusho (yaaaani timu ya mafinikio ya Zama zile) which won't be helping winning business deals with companies that want attention to sell theirs products/services........ Mfano timu za Milan ( zitakuwaje 10 yrs Kama zikiendelea na Hali hizo)
 
Mechi ya leo imekaa hovyohovyo sana

√Tukishinda Liverpool anakuwa kwenye position nzuri ya kubeba EPL..tukidraw itakuwa hivyo hivyo pia

√Tukifungwa,top four is over and no UCL next season

Kwa form tuliyonayo kama timu kuifunga City itakuwa ni kazi ngumu sana,City ashatoka UCL so EPL ndo jicho lao kuu kwa sasa..

Anyway..mimi tukishinda,tukifungwa,tukidraw sitajali..cha msingi ninachosubiri kwa sasa ni dirisha la usajili lifunguliwe nione Ole atafanya nini ili nijiandae kwa next season

√Martial,Jones,Young,Darmian,Lukaku,Matic hawa jamaa naona ni wakuondoka haraka sana pale United

√Smalling,Baily,Rashford..wanaweza kukaa benchi wakati tukiendelee kujenga kikosi

√Hivi Pogba ni mchezaji ambaye ameilekeza akili yake United 100℅??..Sitojali akiondoka,maana naona uwepo wake unaweza kuwa unatuzuia kufika sehemu fulani..na naamini kuna wachezaji tunaweza kuwachukua na timu ikacheza vizuri zaidi

√Naskia Ed Woordward anataka kumchagua Phelan kuwa DOF....can we say Ed anapenda Simple and Cheap options??..Though naheshimu kazi ya Phelan aliyoifanya pale OT
 
Dooh, Leo nacheka sana.
Kati ya siku ambayo sijisumbui kubana nanilii zangu ili tushinde ni Leo.
Liverpool watafanya hivyo badala yangu.
Yaani unaangalia mechi kwa amani ukifungwa unashangilia na ukishinda unashangilia pia
 
Ollachuga
Aaroon
Southern Highland
Ile kamati yetu ya Mazishi msibani leo mnatusika wenyewe Mimi leo naisapoti timu ya kwenye Damu Sitahusika na mazishi yenu lakini kama ni mazishi ya Manchester city hapo tuko wote kama ni ya Manchester United HAPANA.
 
Mechi ya leo imekaa hovyohovyo sana

√Tukishinda Liverpool anakuwa kwenye position nzuri ya kubeba EPL..tukidraw itakuwa hivyo hivyo pia

√Tukifungwa,top four is over and no UCL next season

Kwa form tuliyonayo kama timu kuifunga City itakuwa ni kazi ngumu sana,City ashatoka UCL so EPL ndo jicho lao kuu kwa sasa..

Anyway..mimi tukishinda,tukifungwa,tukidraw sitajali..cha msingi ninachosubiri kwa sasa ni dirisha la usajili lifunguliwe nione Ole atafanya nini ili nijiandae kwa next season

√Martial,Jones,Young,Darmian,Lukaku,Matic hawa jamaa naona ni wakuondoka haraka sana pale United

√Smalling,Baily,Rashford..wanaweza kukaa benchi wakati tukiendelee kujenga kikosi

√Hivi Pogba ni mchezaji ambaye ameilekeza akili yake United 100℅??..Sitojali akiondoka,maana naona uwepo wake unaweza kuwa unatuzuia kufika sehemu fulani..na naamini kuna wachezaji tunaweza kuwachukua na timu ikacheza vizuri zaidi

√Naskia Ed Woordward anataka kumchagua Phelan kuwa DOF....can we say Ed anapenda Simple and Cheap options??..Though naheshimu kazi ya Phelan aliyoifanya pale OT
ED hayupo serious na mambo ya mpira Bali biashara zaidi
 
Mashabiki mbumbumbu na Mashabiki maandazi wanaotaka leo tufungwe nawaonea huruma sana hawata amini tutakachokifanya OT leo
Glory Manchester United
 
Katika game 7 zilizopita dhidi ya City hapo OT
Tumeshinda 1
Draw 1
Tumefungwa 5

Recently PSG & Barca wametufungia OT
Tupaki basi (hatuna uweza wa kuchezea mpira dhidi ya City)

Then

Tuwapige counter attack, other than that tutaabishwa

Mbinu ya counter attack itafanya kazi kwa kuwa City wapo desperate kupata goli (ushindi)

Tutaweza kushinda kama OGS ataacha upimbi wake wa kuchezesha English FC, aweke English players who deserve to start

Kutokuwepo kwa De Bruyne itakuwa ni plus kwetu

Kurudi kwa Shaw kutatusaidia sana

Midfield napendelea iwe Fred, Tominay na Pgba

Positive record, ndani ya mechi 15 za mwisho pale OT hatujafungwa hata game moja, tumeshinda 9 na kutoa draw mechi 5
 
Nina uhakika leo tunashinda au kudroo, hawa City hawawezi kutupiga nje ndani.

Wajipange.
Umehamia man u kwa muda? Leo man u anapigwa,,bora aende futuhi kuliko kuwapa EPL, liver ndivyo furaha yao, kama unataka kuamini man city akishinda ,mashabik WA man u watafurahi kama walivyofanya WA Everton dhid ya city
 
Yani swala la madogo ndo usiseme
Maana amna dogo anaeweza kushabikia man u.
Ni barca na city kwa sasa
Man u brand kubwa mkuu wew huoni mwenyewe unakuja uzi wa Man u kubishana hahahahahahaha.... This is Manchester United hahahaha ni kama maji usipokunywa utayaoga
 
Ollachuga
Aaroon
Southern Highland
Ile kamati yetu ya Mazishi msibani leo mnatusika wenyewe Mimi leo naisapoti timu ya kwenye Damu Sitahusika na mazishi yenu lakini kama ni mazishi ya Manchester city hapo tuko wote kama ni ya Manchester United HAPANA.
Leo tunahitaji man u afungwe ila 1-0 itapendeza,

Hahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom