Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukak ameshakuwa heavy. Akiwa mwembamba anakuwa mzuri sana. Angalia akiwa everton.
Uzito umemuaharibu.
Pogba needs to go.. he has no loyalty.na hii tabia fergie aliiona mapema
Kila mkiwa na matokeo mabovu mnamlaumu pogba anacheza pekeyake ? Au mnanfaninisha na messi na ronaldo ! Wale wajinga kina rashford,smalling,young,jones na lingard wanaopewa nafasi na kocha hata waharibu vp hamsemi !
 
Hata lukaku unamlaumu basi huyo rashford mechi kama tano sahv anaboronga tu mna muoverrate huyo angekuwa timu nyengine hata haanzi
 
Ujinga ni nini?

Ujinga ni pale Man u wanapoamua kumuachia City 3 points kwa makusudi ilimradi tu Liverpool isichukue ubingwa, mwisho wa siku Man City anakuja kudraw na leicester, Liverpool anatwaa ubingwa huku Man U akirudi Europa😂😂.

Yaani bora washinde tu waandike historia kuwa walimtafutia Liverpool ubingwa

🤣🤣🤣
 
Labda mkuu ww ndio haufuatilii. Ulaya lawama zinawaangukia sana akina young jones smalling na rushford pogba sio sana.
Kwa nn? Sababu wachezaji wa kiingereza hawana vipaji.
Kila mkiwa na matokeo mabovu mnamlaumu pogba anacheza pekeyake ? Au mnanfaninisha na messi na ronaldo ! Wale wajinga kina rashford,smalling,young,jones na lingard wanaopewa nafasi na kocha hata waharibu vp hamsemi !
 
Labda mkuu ww ndio haufuatilii. Ulaya lawama zinawaangukia sana akina young jones smalling na rushford pogba sio sana.
Kwa nn? Sababu wachezaji wa kiingereza hawana vipaji.
Leo lawama zote kwa pogba nani asiejua mpaka anaambiwa mazungu na madrid yanaendelea vzuri ! Haya huyo rashford kaongelewa nini ! Walopewa mkataba mpya ni haohao kina young,jones,na smalling na badala ya herrera na de gea utaona hako ka heskey kenye speed ndo katapewa mkataba
 
Sasa hapa Man U kwa haya matokeo ya Chelsea, Arsenal na Spurs nafasi bado wanayo.

Kesho Man City hii mechi ni ngumu kwake. Tofauti na wengi mnavyowaza Man U hawezi kumlegezea City hata kidogo. There's so much at stake, there's so much to lose.

Kesho naona Man U wakishinda pale OT.

Ole's at the wheel.

Cc: cute b
 
Mancity anawachalaza,

Mnakutana na Chelsea mnagawana nafas ya 6&5

Then zinabak mech 2, Arsenal anakuwa anahitaji kushinda mech 1 tu, ya Burney home,

Cheltako na nyumbu mnaelekea futuhi
 
Uko sahihi lakini hiyo ina mwisho wake. Usiposhinda vikombe na ukawa nje ya UCL miaka nenda miaka rudi ultimately your fan base will be eroded and shrink. Waulize Liverpool au AC Milan
Both AC MILAN na LIVERPOOL hawajaweza kutengeneza business brand during their successful period. Man utd imeweza. Na kwa Woodward, still mufc can get more deals than man city liverpool and others. Pamoja na kusuasua kote lakini club ilizipita barca na madrid kwa hela. Now ofcourse kutakuwa na some effects kwenye deals anyways lkn sio true fans, Liverpool wanamiaka 26 hawajachukua epl, miaka minne ya kuspend mapesa kama mwenda wazimu hawajachukua hata ngao ya uingereza lakini uwanja wao unajaza mafans kuliko mabingwa wa uingereza wenye tajiri mkubwa wenye madeal makubwa (fake deals) wenye kocha “bora”, waloshiriki UEFA mara zote (tangu kuanza kuibgia top 4) man city, plastic fans tunawaita. Ata page yao ya insta ni disaster, 1 hour unakuta ina comment moja!!!!
 
Huoni huu kuwa ni ukichaa??
Nop, alishakuwa hachezi kwa misimu mitatu haonekano uwanjan na hana game time kiwango kinaapotea na unampoteza anasahaulika. A psychological punishment for those who dont play for the club but for money and fame.

Yaani ata ronaldo anaehama hama basi akiheza unajua kaa jamaa anaitafutia ubingwa timu anayochezea. Lakini pogba wala hajitumi!!

Manutd inahitaji wachezaji mfano wa messi ma ronaldo, sio mastaa kama wao, bali wanajituma kama hao
 
Wamesaini na Puma, na wameachana na Nike...... Angalia hiyo attachment

Ni kweli City wana struggle hata kujaza uwanja wao ambao una uwezo wa kubeba mashabiki elfu thelathini na kitu (mashabiki wa United wanawatania kwa kuwaita Emptyhad badala ya Ethad) , lakini ni ukweli usiopingika miaka 5 au 10 iliyopita tulikuwa tukienda vibanda umiza au hata mtaani huwezi kukuta mtu amevaa jezi ya City lakini kwa sasa wapo, hivyo kwa sasa wanapata mashabiki na hiyo inasababishwa na performance uwanjani

Kwanza hivi unaweza vipi kutenganisha performance ya timu uwanjani na kuvutia mashabiki mashabiki? Real Madrid wana mashabiki wengi sababu ya mafanikio yao, Barca hivyo hivyo, Man Utd hivyo

Ipswich town, hull city, Levante, torrino, hawana fan base kubwa sababu hawana mafanikio uwanjaniView attachment 1078465
Arsenal will sell more kits than man city, and besides, looks like puma wants to gain attention.

Hao unaowakuta vibandani hizo jezi wanazonunua ni kutoka Nike au Mike? Mana mitaani watu wanajezi za timu tofauti, kuna wengine wanavaa sunderland ije kuwa mtu kavaa man city tena fake one?

United amepata biggest deal in EUROPE la adidas na miaka sita yote anasuasua. Kwa sasa business wise United ina prove kuwa ni brand kubwa nje ya mpira.

Unajua man city owners wanajaribu kupump pesa kwenye club ku avoid FFP. Sasa hio deal ya puma usikute kuwa ni ndogo ila owners wameongezea pesa juu yale. Ndio mchezo wao huo. Man city ilikiwa ina run on deficit lkn pumping money on fake deals ndio ikaonekana kuwa iko sawa na ndio maana uefa wakataka kufanya uchunguzi tena upya kwa man city baada ya leaks
 
Basi tusichukulie kigezo cha watu kuvaa jezi kama kigezo cha mashabiki, miaka ya nyuma ulikuwa huwezi akakuta na shabiki wa City popote mtaani na mkabishana kwamba wao zaidi au vinginevyo. Sasa hivi humu mpaka wana Uzi wao, kwanini unadhani Udinese ya Italy au Huddersfield na Sunderland ya Uingereza hawana Uzi wao humu JF (mfano wa jukwaa ambalo mashabiki wanaweza kujikusanya)

Kama unakataa evidence ya sponsorship kwa SABABU ZA LABDA mwarabu ka pampu pesa sijui, LABDA nini nini, then sina haja ya kuendelea kujadili
 
Kudhani football business brand inaweza kutengenezwa na kuwa maintained nje ya footballing activities ni kupotoka

Kila Mwaka katika Annual report Ed sehemu kubwa ya report yake kwa wanahisa anaelezea kuhusu mafanikio na failures na zaidi ya nusu ya taarifa anaongelea mambo ya soka

United na addidas wana kipengele kwenye mkataba, United asipoingia UCL kwa miaka 2 mfululizo anakatwa £75 million

United anaweza kuvutia wachezaji kama Pogba kuja kucheza United sababu ya footballing factors mfano kuwa na jukwaa la kuchukua Champions League, je watu wanajua Pogba ameingizia United pound milioni ngapi kupitia mauzo ya Jersey?

Sanchez aliopokuja United, unajua mauzo ya jersey yalikuwa ni pound milioni ngapi? Ingekuwa sio footballing factors Sanchez angekuwa anataka hela pekee si angeenda China

Kama watu wanadhani hisa za United zinakuwa na thamani tu automatically kwa sababu ya kazi iliyofanywa miaka 20, 50 iliyopita ni kukidanganya
 
Sasa hapa Man U kwa haya matokeo ya Chelsea, Arsenal na Spurs nafasi bado wanayo.

Kesho Man City hii mechi ni ngumu kwake. Tofauti na wengi mnavyowaza Man U hawezi kumlegezea City hata kidogo. There's so much at stake, there's so much to lose.

Kesho naona Man U wakishinda pale OT.

Ole's at the wheel.

Cc: cute b
Kwendraaaaaaaaaaaa. Hatushindi sisi.
Man city wale wametuzidi uwezo tutawezaje kuwafunga?
Acha kutujaza.
 
Back
Top Bottom