Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani kuna hoja iliyotolewa hapo awali? Au umekurupuka tu?
Kumbe na wewe hujui tofauti ya Hoja na Maoni! Ni walewale tu kina Ndugai.
tatizo lako unaona kila unalosemaga wewe unaona upo sahihi sio hapa tu hata kule kwenu.

ok nimekurupuka.
 
Pogba ni wa kawaida sababu yupo timu ya kawaida
Pogba wa Juventus nyuma yake alikuwa alikuwa Pirlo na Vidal.

Pogba wa France chini ana Kante na Matuidi.

Pogba wa Man United chini ana Matic na Herrera tena Matic yule anaemkaba kwa macho Sigurdson anapiga shuti linazaa goli
then unatarajia mambo yatakuwa the same??

huyo Tom Cleverly unaesema wewe ni bora kwa sasa yupo Watford anakula mkeka tu ila kama angekuwa United angekuwa regular starter, simple and clear sababu United ni timu ya kawaida na mchezaji ni wa kawaida.
Inabidi watu wahoji attitude ya Pogba na sio uwezo wake..maana uwezo anao hilo halina ubishi...
 
IMG_5140.JPG
 
Binafsi usinijumuishe na wengine. Ila kwangu mm nilifurahi maana ni moja ya mafanikio. Lakin sasa psg ametolewa na man kwa taaabu sana. Kwa kusua kule nilijua tu barca lazima wafanye yao.. baada ya hapo ni timu kuchanganyikiwa. Mara nyingi mashabik wenzangu huwa wananipinga sana.. ila leo wako kimya.
Lakini walivuomtoa PSG mlikuwa mnasemaje?
 
Hizo ni habari za kusadikika sana mkuu. hakunaga ushahidi wowote. Team haiwezi ku perform miaka yote hiyo wakabeba vikombe hivyo halaf unasema sababu ya marefa.. that not true.
Yah! Ferguson aliwaweka kwenye udhibiti kupitia FA kiasi ya kwamba Manure ikatawala soka la kiengereza kupitia msaada wa hao majamaa
 
Watu kama Kourt Zouma, Ake, M'batishway, Morata, Bakayoko, Baba Rahman, Musonda, Kennedy, na madog wengine warudishwe tuunde kikosi cha msimu ujao ...

Maana ile rufaa ya Chelsea sioni kama.a itafanikiwa..
Msimu ujao mnashuka daraja kabisa,na kocha wenu mvuta bangi
 
Wewe unapiga mdomo sana ,tunasema hivi tutapiga ramli ,EPL, abebe man city ,UCL, messi anawabaka, mnamaliza msimu bila taji, subir tuone,wewe siuna mdomo mrefu sana
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah hahahahahahahahah
 
Huyu Ole ananiboa sana anapoanza kuleta stori za Ferguson,,..hivi yeye hana mbinu na njia zake binafsi za kuiongoza timu yetu??

Kila muda fergie,fergie,fergie!!..pathetic
MKUU TIMU MLIMPA DEIWAKA KOCHA HAKUNA HAPO.
 
Kwasababu Bado Munaendelea na Mikataba Minono iliyokuepo awali.

Subiri Hao kina Nike wamalize Mikataba ufike muda wa Kurenew halafu hamuchezi CL ndiyo utaona mziki wake.

Man United alikuwa Bingwa wa Kuuza Jezi, lakini unadhani Jezi ya Kina Rice na Sancho itauzwa kama ya Pogba?
Ndio, kama depay alimfunika neymar na kuwa behind Ronaldo na Messi pekee Duniani then Sioni kwanini hao uliowataja kushindwa kuuza jezi.
 
Kwa sifa na vigezo hivyo ulivyovitaja basi EPL nzima huyo mchezaji atakuwa ni Ngolo Kante peke yake
Again, kwa vigezo hivyo hata Messi haqualify manake akiwa na National team hajashinda World Cup
Vipi kuhusu timu yake ya taifa, Argentina, wewe na dunia nzima wanamchukuliaje!? Kwa nini!? Nijibu hayo tuendelee
 
Duuuh wana miaka 18 kama faida washatengeneza ya kutosha waende tu
Sporting Director

Director of Football

Technical Director


Sijui Glazers na Ed wanawaza nini? It is almost May, baadhi ya dili za kusajili na kuuza wachezaji zilipaswa kuwa kwenye hatua za mwisho lakini mpaka sasa banker Ed ndio Sporting Director wetu (funny but not funny)

Kiuhalisia, baada ya Jose kuondoka, usajili wa kwanza ilibidi uwe wa Sporting Director lakini naona Ed anapiga mark time tu

Nimeanza kuelewa kwanini ile miaka ya 2000 mashabiki wa United walikuwa wana protest ili Glazer asiuziwe timu
 
Ni sawa na MO aache biashara sasa, ndani ya miaka kadhaa ya mbeleni matajiri wanaochipukia hawawezi kumkuta sababu ya alichoki accumulate, ataendelea kuwa juu

Na United brand yake imejengwa kwa miaka mingi sana, kwa hiyo miaka 6 au 10 haiwezi kuiharibu lakini ngoja tukae miaka 30 bila premier kama ndugu zetu wa Merseyside uone kama tutaendelea kuwa juu kiuchumi

Uchumi wa timu pia unakuwa kutokana na ukubwa wa fan base, kwa sasa United ndio club yenye fan base kuliko club (football club) yoyote ulimwenguni

Matokeo yakiwa mabaya kwa miaka mingi, idadi ya mashabiki itapungua, na timu haitaweza kuvutia mashabiki wapya, idadi ya sponsors nayo itapungua na watapunguza mpunga wa sponsorship na hatimaye tutapotea kwenye nguvu ya kiuchumi

Nasisitiza IN THE LONG TERM RUN,( sio kwa muda mfupi kama miaka 6, 7 au10) tukifanya vibaya uwanjani tutayumba kiuchumi

Hii ni kweli pia kwa timu zinazofanya vizuri uwanjani, wakifanya vizuri kwa muda mrefu na uwezo wao kiuchumi unakua
Miaka 7 hatujabeba EPL na UCL ila kimapato tunawakimbiza waliobeba.
 
Back
Top Bottom