Usicheze mpira Kwa vidole kila mtu ashinde mechi zake tuUjinga ni nini?
Ujinga ni pale Man u wanapoamua kumuachia City 3 points kwa makusudi ilimradi tu Liverpool isichukue ubingwa, mwisho wa siku Man City anakuja kudraw na leicester, Liverpool anatwaa ubingwa huku Man U akirudi Europa.
Ladba kama umefikiri Kwa kutumia utumbo mpanaSidhani kama yanayosemwa dhidi ya Pogba ni sahihi!
Manchester (City & United) hakuna mchezaji anayefikia hata nusu ya kipaji cha Pogba!
Ni pure World Class.
Wamesaini na Puma, na wameachana na Nike...... Angalia hiyo attachmentWhich City deal is biggest?
Man city haina ata fans wa kufill there own home seats mpaka wanunue watu kwa kuwalipia ticket. Juzi tu apo walicheza mechi uwanja ulikuwa mtupu mpaka dunia inashangaa. Manutd pamoja na uchwara wake mashabiki uwanjani nyomi na ndicho wanachotaka advertisers. They dont care if you are winning titles, they want exposure and man city cant offer that.
Mkuu hichi kitu imeshajaribu kuelewesha Sana watu humu ndani..... "Mapato ya timu yanategemea matoke ya mpira uwanjani" ili upate Mashabiki wengi zaidi, ili uweze kuingia dili nzuri za mikataba....... Dili la Adidas sidhani pale Utd Kama watakubali ku renew kwa terms hizi hizi Kama timu itaendelea kuwa na sintofahamu ya matokeo namna hii, OverNi sawa na MO aache biashara sasa, ndani ya miaka kadhaa ya mbeleni matajiri wanaochipukia hawawezi kumkuta sababu ya alichoki accumulate, ataendelea kuwa juu
Na United brand yake imejengwa kwa miaka mingi sana, kwa hiyo miaka 6 au 10 haiwezi kuiharibu lakini ngoja tukae miaka 30 bila premier kama ndugu zetu wa Merseyside uone kama tutaendelea kuwa juu kiuchumi
Uchumi wa timu pia unakuwa kutokana na ukubwa wa fan base, kwa sasa United ndio club yenye fan base kuliko club (football club) yoyote ulimwenguni
Matokeo yakiwa mabaya kwa miaka mingi, idadi ya mashabiki itapungua, na timu haitaweza kuvutia mashabiki wapya, idadi ya sponsors nayo itapungua na watapunguza mpunga wa sponsorship na hatimaye tutapotea kwenye nguvu ya kiuchumi
Nasisitiza IN THE LONG TERM RUN,( sio kwa muda mfupi kama miaka 6, 7 au10) tukifanya vibaya uwanjani tutayumba kiuchumi
Hii ni kweli pia kwa timu zinazofanya vizuri uwanjani, wakifanya vizuri kwa muda mrefu na uwezo wao kiuchumi unakua
Nachojua mpaka sasa mechi ya jumatano tushaimaliza na kipigo kidogo tutakachopokea ni cha sita bila majibu.....kamwe siwezi ruhusu liva anisogeee ile rekodi yangu ya kutwaa ubingwa mara 20
Kwa mantiki hii kwani huwa hamsemi Lukaku akipata the right player around him atafanya vizuriKwa hilo I beg to differ!
Pogba akipata the right players around him anang’ara
Nilimwona World Cup alivyokimbiza
Mkuu huu ndio ukweli wenyeweMkuu hichi kitu imeshajaribu kuelewesha Sana watu humu ndani..... "Mapato ya timu yanategemea matoke ya mpira uwanjani" ili upate Mashabiki wengi zaidi, ili uweze kuingia dili nzuri za mikataba....... Dili la Adidas sidhani pale Utd Kama watakubali ku renew kwa terms hizi hizi Kama timu itaendelea kuwa na sintofahamu ya matokeo namna hii, Over
Kwa mantiki hii kwani huwa hamsemi Lukaku akipata the right player around him atafanya vizuri
Pogba ni tatizo kubwa pale United, kwa kiwango yupo 60%/70% ability wise lakini tatizo lake kubwa ni mercenary, he don't play for badge
Lukak ameshakuwa heavy. Akiwa mwembamba anakuwa mzuri sana. Angalia akiwa everton.Lukaku is a fat ass footballer. He probably could be a better running back in NFL
Kwa ogs maybe.. lakin mike phelan hapana. Why? Mike likuwa assistant wa ferguson kabla hajastaaf. So anaijua team vizur.OGS - Relegate Cardiff then akakimbilia kwao.
Mike Phelan - Relegate Hull city, then akawa sporting director huko Australia bado akashuka nayo tena daraja.
Alafu baadae wamekuja ku manage the biggest club in the world. Njoo mniambie kama kweli uchawi haupo duniani.
Hahahah, kweli aiseeUjinga ni nini?
Ujinga ni pale Man u wanapoamua kumuachia City 3 points kwa makusudi ilimradi tu Liverpool isichukue ubingwa, mwisho wa siku Man City anakuja kudraw na leicester, Liverpool anatwaa ubingwa huku Man U akirudi Europa.
Wote vilaza tu haoNingekua manager, basi hiki ndio kingekua kikosi changu siku ya jumatano
Grant
Injured valencia- Rojo - Darmian - Young
McTominay
Lingard - Pereira
Gomes - Lukaku - Chong


Humjui gundogan na de bruyne