Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Umetumia vigezo vipi?Ningekua manager, basi hiki ndio kingekua kikosi changu siku ya jumatano
Grant
Injured valencia- Rojo - Darmian - Young
McTominay
Lingard - Pereira
Gomes - Lukaku - Chong
Umetumia vigezo vipi?Ningekua manager, basi hiki ndio kingekua kikosi changu siku ya jumatano
Grant
Injured valencia- Rojo - Darmian - Young
McTominay
Lingard - Pereira
Gomes - Lukaku - Chong
Sio media, ni platform ya kuonekana.Media ya uingereza inawapigia debe sana wachezaji wake inawapa sifa za uwezo ambao hawana baada ya kina lingard na rashford sasa angalia hudson odoi sahv nae ndo walewale wakina rashford
Mkuu umeongea umeongea kitu cha msingi hususani kwenye suala PERFOMANCE YA MUDA MREFU INAVYOWEZA KUONGEZA AMA KUPUNGUZA WASHABIKI
Kuna watu wanakunja shingo kwamba Man Utd haiwezi kupoteza washabiki sababu ya brand...... Mfano mtoto/kijana yupo nanjilinji huko, anaanza kufuatilia mpira wa Ulaya sasa hivi, aipende United sababu ya brand ili iweje
Hawafahamu kipindi cha mwisho mwisho mwa zama za Jose pale OT viti vikianza kuwa kwenye wazi kwenye baadhi ya mechi, wakati United inasifika kujaza watu 75,000 iwe Man anacheza na Barnsley au Liverpool ...... Sasa hii ya uwanja kupwaya wanadhani imesababishwa na nini? POOR PERFOMANCE
Hawa wanaosema brand haitashuka regardless ya performance na matokeo uwanjani hawajui hata baadhi ya mashabiki humu waliacha kuangalia game za United kwenye TV kipindi cha mwishoni zama za Jose?
Hawa watu hawajui kuwa kesho kuna baadhi ya watu humu wataacha kucheki game ya United kwa kuwa wanahisi United hawata perform. Ni vipi, performance ikiwa ni mbovu kwa muda mrefu, say miaka 5 au 10 ijayo, je United hatapoteza mashabiki?
Mwisho labda niseme, kiujumla kwa sasa bado mtaani jezi za United ni nyingi kuliko za City, ila zimepungua na za City zimeanza kuonekana. Je kwa muda mrefu hali hii ikiendekea hatuoni kwamba United power itafifia?
Cristiano Ronaldo, Park JiSung, Rio, Vidic, Anderson, Nani walikuja United hawana majina.
United wakawapa majina wakauza jezi na kuvunja rekodi mbalimbali.
Jezi alizozouza Van Persie akiwa United ni zaidi ya mara mbili ya jezi alizouza akiwa Arsenal.
Tatizo sio jina la mchezaji, ila akifanya vizuri kwenye timu kubwa kama United lazima awe gumzo duniani.
Martial alivyokuwa Monaco alikuwa useless kwenye mapato ya timu, alivyokuja United amebaki historia.
Rashford angecheza Southampton angekuwa wa kawaida sana tu. Vardy angecheza United na speed yake ya kutupia angekuwa famous kuliko Lukaku.
Hivi unajua % ngapi ya mashabiki wa mpira wa miguu duniani wanashabikia United?
Must not win gameUmetumia vigezo vipi?

Nimecheka sana hii
HAKUNAAAAAA!!!Yaani bora washinde tu waandike historia kuwa walimtafutia Liverpool ubingwa
🤣🤣🤣
Itakuwa si habari njema kwetu Man U OriginalSasa hapa Man U kwa haya matokeo ya Chelsea, Arsenal na Spurs nafasi bado wanayo.
Kesho Man City hii mechi ni ngumu kwake. Tofauti na wengi mnavyowaza Man U hawezi kumlegezea City hata kidogo. There's so much at stake, there's so much to lose.
Kesho naona Man U wakishinda pale OT.
Ole's at the wheel.
Cc: cute b![]()
Himidi mao kama angekuwa anamzidi pogba angekuwa psg leo. Angekuwa juve... angekuwa real. Mbona yuko hapa hapa afrika.. ? Shida n nn?Unapamba mavi maua tu pogba hamfikii hata himidi mao mkame ninja
Ha ha haDuh kwa mara ya kwanza katika history ya EPL Manchester United inafungwa wanaumia ni wapenzi wa Liverpool.

HAKUNAAAAAA!!!
Must not win game
Wewe jamaa unanifurahishaga sana, halafu humkubali rashford kinoma, hahaaaNingekua manager, basi hiki ndio kingekua kikosi changu siku ya jumatano
Grant
Injured valencia- Rojo - Darmian - Young
McTominay
Lingard - Pereira
Gomes - Lukaku - Chong
Kwani pogba angezaliwa urongoni au kitunda kama himidi angetoka?Himidi mao kama angekuwa anamzidi pogba angekuwa psg leo. Angekuwa juve... angekuwa real. Mbona yuko hapa hapa afrika.. ? Shida n nn?
Msishinde sawa tu
Ila bado mna maisha magumu sana hapo klabu kwenu, mambo ya uzawa lazima yawadidimize sana tu na mtapata tabu sana
Better tupate tabu as long as my club is not under a certain Russian sugar dad.
Kwani pogba angezaliwa urongoni au kitunda kama himidi angetoka?
Rashford pimbi tu kwa umri alionao tena alipaswa kuwa wa moto balaa....nakumbuka umri ule ronaldo alikuwa tishio mno hapo traffordWewe jamaa unanifurahishaga sana, halafu humkubali rashford kinoma, hahaaa
Ulishawahi kuweka avatar umempiga X,