OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
HahahahahHa uyu anajulikana ni mpiga domo maarufu ..yule mwingin ndiye anayefuatia ...sasa ngoja tumalizane na uyu kwanza ..halfu tutaenda kwa yule mwenzake..Inaonekana huyu aliekufa alikuwa anafahamika sana kwa kupiga domo ndio maana mmejaa humu ila ule msiba mwingine kule EMIRATES mmeususa
U have a point. The difference is woodward yeye haangalii talent. Anaangalia jina na pesa atayoingiza hii mentality ndio inaua team.Issue sio hela, tatizo nani atakaesajili, kama woodward ndio muamuzi kama alivyowaamulia makocha waliopita subiria sanchez wengine 4 wanakuja, atajisifia kuvunja rekodi za jezi na twitter then uwanjani kama kawaida.
Paul pogba,David De Gea, Lukaku. Alikuwepo na Sanchez ila ninachoona huyu mchezaji ameshuka sana na siamini kama atawaka tena kwa kiwango kilichotegemewa na walimwengu,mana flopping yake ilianza toka akiwa Arsenal msimu wa mwisho ambapo wadau wengi waliamini ni kutokana na kuwa na akili za kuondoka asenoWataje wa man u
Paul pogba,David De Gea, Lukaku. Alikuwepo na Sanchez ila ninachoona huyu mchezaji ameshuka sana na siamini kama atawaka tena kwa kiwango kilichotegemewa na walimwengu,mana flopping yake ilianza toka akiwa Arsenal msimu wa mwisho ambapo wadau wengi waliamini ni kutokana na kuwa na akili za kuondoka aseno
Yani wataliwa nje-ndani..Kwanza Valencia hawaachi hawa
The club is generate more money off the field Glazer have no guts to sack Ed
Hata Ole akisema ajenge backborne, hakuna wachezaji wa hiyo callibre. Wote magalasa.Kipindi kile fergie anasajili wachezaji wa kawaida sababu tayari tuna backbone ya timu, kuna Giggs, scholes, Rooney, ferdinand, Garry neVille etc. Hata ukisajili mchezaji wa kawaida bado timu inakuwa nzuri sababu una majembe wazoefu.
Sasa timu ipo ipo tu hata haieleweki, timu moja kuna wachezaji wa kila namna, kila mchezaji na mfumo wake aliouzoea, hakuna identity kabisa.
Hahahaha hata mimi nmejiuliza sana ..Lukaku kwa WCP ...jamaa anakwamia wapi.?“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”
Hayo ni maneno yako mwenyewe nimeququote.
Tuanze na Lukaku, anakidhi hivyo vigezo???
New record in town
Hahaha Ole wa Man united iliyoshinda karibu game saba mfululizo ni tofauti na Ole uyu wa sasa?
Hahah!! Sawa mkuu ila tegemea record nyingine nyingi kutoka kwa OleAnd you are very good on keeping your record
Non Champions League Winner
Nasikia As Arsenal dhidi ya Palace ameupiga mwingi sanaNasikia man u leo ameupiga mwingi
Oleguna bonge moja kocha, msimuache aisee
Naipenda sasa hivi Man United. Glory Glory Man United.Hauwezi kuipenda Man U hata kwa ajili yangu,?
Btw we are unitedwe fall seven times and stand up eight.
Sasa watu wataelewa kwanini Fergie alimtoa Pogba. Sio Man utd player na auzwe tu, lingard, martial, tashford na lukaku nao wote wauziliwe mbali.Probably Pobga will be the first to be sold.
I have this feeling.
HahahahahahahahaNasikia As Arsenal dhidi ya Palace ameupiga mwingi sana
Unai ni bonge la kocha ..... Nduki
Sasa watu wataelewa kwanini Fergie alimtoa Pogba. Sio Man utd player na auzwe tu, lingard, martial, tashford na lukaku nao wote wauziliwe mbali.
Timi inahitaji kujengwa upya sana. Mctominay ni mmoja ya wachezaji ambao unajua kama jamaa anachezea kwa ajili ya klabu