interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Bring him back Special OneBRING BACK MO

Bring him back Special OneBRING BACK MO

Matatizo ya Manchester United ni zaidi ya kocha.
Mchawi wa man u ni furgeson na edwoord'The manchester united way' inawatesa sana. Solskljaer inatakiwa aje na identity yake sio kulazimisha identity ya Sir. FERGIE. Ingawa Mourinho na falsafa yake ilibugi lakini angalau alijaribu kuja na staili nyingine. Kitakachomfukuzisha kazi Solskjaer ni kutaka kuchezesha Manu kama ile ya Fergie, mambo yamebadilika.
Sidhani kama tatizo ni ogs. Tatizo ni wachezaji.
Hili ndio muo alilipigia kelele toka mwanzoni. Lakin hawakusikia. Wale wachezaji ni so average. Man u class players.. ni pogba na digea ..wengine hovyo.
Hata aje kocha kutoka mbinguni. Wka wachezaji hawa. Timu itafungwa tu
Naongezea tuuMatatizo ya Manchester United ni zaidi ya kocha.
Numbisa tuimbe .."Niuwe man u Niuwe x2/ Niuwe man u Niuwex2"
Umekoment vizuri lakin umekosea KULETA mfananisho wa SLAY QUEENS kwa chama KUBWA KAMA MANCHESTER UTD......usifananishe Usawa wa ManUtd na Mi-tg√Sasa kwa alivyocheza Young gemu ya Barcelona anaanzaje kucheza leo??
√Martial ni hovyo pia ila ukimpanga Mata mbele ya Martial hayo yatakuwa masihara..maana Mata ameshachoka..yaani ni sawa kusema Amber rutty ni mrembo kumshinda Amber Lulu
nani anamu over-rate de gea performance yake ya misimu iliyopita ndiyo inayompa hizo sifa.Hata De gea Hanna kitu mna mu overate tu
Tofauti yake na Mourinho ni kuwa Mourinho ni mzuri sana kwenye sub, ana uwezo wa kujua tatizo katkat ya safar na kuweka mtu sahihi wa kurekebisha ..... Mou ni bingwa wa mikakati ya ushindi (master of tactics) Tatizo la mou sio innovator kama Guardiola, ndo mana huonekana kama mbahatishaji na muoteaji...sasa huyu Ole ni gogo tuu, yeye mwenyewe hajui afanye nin kama mambo yakienda kombo, kazi yake ni kufungulia wachezaji wakacheze, hana uwezo wa kufight to the last...hana uzoefu kabisa, in short Ole sio kocha, ana lack strategy kitu muhimu sana kwa kocha yyteTatizo kuu ni kocha, Ole hakuleta kitu kipya zaidi ya kutembelea kivuli cha Furgie
Van Gal kama mwezi uliopita alisema Ole hakubadilisha kitu, mfumo ni ule ule wa Mou wa kupaki mabasi na kuvizia ku counter attack. Wins zote walizopata under Ole ni kwa njia hiyo. Sasa wameshtukiwa na hio mbinu don't work any more
Umekoment vizuri lakin umekosea KULETA mfananisho wa SLAY QUEENS kwa chama KUBWA KAMA MANCHESTER UTD......usifananishe Usawa wa ManUtd na Mi-tg
MO pamoja na kuwa na mbinu lakini alifeli na timu hii kwahiyo tusitegemee chochote kwa huyu asiyekuwa na mbinu.Tofauti yake na Mourinho ni kuwa Mourinho ni mzuri sana kwenye sub, ana uwezo wa kujua tatizo katkat ya safar na kuweka mtu sahihi wa kurekebisha ..... Mou ni bingwa wa mikakati ya ushindi (master of tactics) Tatizo la mou sio innovator kama Guardiola, ndo mana huonekana kama mbahatishaji na muoteaji...sasa huyu Ole ni gogo tuu, yeye mwenyewe hajui afanye nin kama mambo yakienda kombo, kazi yake ni kufungulia wachezaji wakacheze, hana uwezo wa kufight to the last...hana uzoefu kabisa, in short Ole sio kocha, ana lack strategy kitu muhimu sana kwa kocha yyte