Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilitoa kama mfano mdogo tu kwamba hao maslay queen uchwara wote wabovu lakini amberlulu ana uafadhali
Ahahahahaha Mama weee mbavu zangu, ukoko wa pilau na Ukoko wa biliani Upi unauafadhali !???? Ahahahaha nimecheka kwanguvu alafu kiboya mpaka mtu mzima nlokuwa karibu naye akasema Masmartfon hayo yanawapa uchizi!!!!!
 
Imagine thinking Solskjaer’s a better manager than Jose Mario dos Santos Mourinho Felix

1077776
 
Hivi tunavyojifanya tumeumia kwa kufungwa leo naomba nguvu zetu za kinyonge tusije tukazimalizia kwa man city!!

Manchester city must win ifikapo jumatano
Kweli kabisa hii ndio furaha yetu pekee kwa msimu huu.

Mara dippers wanaloose ligi kwa City, UEFA wanaingia final lakini wanatoka patumu.
 
Back
Top Bottom