Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dalot! Martial! Hawa ndio wachezaji watakaomng'oa OGS Old Traford. Yaanni Martial anamuweka nje Mata! Sijisumbui kuangalia hii mechi. Ngoja nipeleke watoto beach. Pumbaf.
Ha ha ha ha We jamaa Martial angekuwa bongo ningesema mmechukuliana wanawake. N way dogo hata mie Mara nyingi ananikera,anashindwa kujituma ili kipaji chake kiwe halisi. Angalia mechi kaka tutashinda na anaweza akawa chachu leo
 
Everton wanachez open football, Martial anaweza kung'ara

Lakini anapaswa kukaza ..... Akizubaa, msimu ujao atakula sana benchi
 
Young aingie mapema..hakuna mtu wa kuisimamia timu(captain) hakuna mtu wa kuwagombeza wachezaji.
 
Ningekuwa Nina dhamana kubwa ndani ya Man U ningehakikisha Leo tunampiga Everton kwa namna yoyote halafu ningepumzisha baadhi ya wachezaji muhimu kwenye game ya Man City hata tukifungwa poa tu kisha ningefunga kikosi kamili dhidi ya Chelsea na walobaki tufie uwanjani.

Ndiyo maana huna hiyo dhamana, leo mnapigwa, halafu tuone game ya CITY mtapenda kupigwa tena?

Halafu OT! Acheni kuidhalilisha OT nyie jamaa.
 
Dalot! Martial! Hawa ndio wachezaji watakaomng'oa OGS Old Traford. Yaanni Martial anamuweka nje Mata! Sijisumbui kuangalia hii mechi. Ngoja nipeleke watoto beach. Pumbaf.
'The manchester united way' inawatesa sana. Solskljaer inatakiwa aje na identity yake sio kulazimisha identity ya Sir. FERGIE. Ingawa Mourinho na falsafa yake ilibugi lakini angalau alijaribu kuja na staili nyingine. Kitakachomfukuzisha kazi Solskjaer ni kutaka kuchezesha Manu kama ile ya Fergie, mambo yamebadilika.
 
Back
Top Bottom