No way out. Just depend on anaother match


huyu shajifia asee. Ila nafurahi wakipigwa leo jumatano watakuwa aggressive zaidi maana kama Chelsea na Arsenal wakishinda hiyo vita ya top four inatia njaa kweli achilia vita ya ubingwa.Hahahaha hanauwezo yule walitakiwa wapate mtuu taypu ya ErikisenYupo Fred tulimnunua kwa £52m
Jumatano
Rasmi mnaachana na kugombania top 4
Hahaaaaaaaaa
Kuwa mpole , wewe siulikuwa unapiga kelele Mimi kufungwa na Everton ,nikakwambia nilikuwa na majeruhi eneo la midfield, ukanichekaSure mkuu...HT: Wao 2 Sisi 0. Alivyo 'mpumbaf' huyu kocha utashangaa anamtoa Lukaku wakati Martial yuko kule anazurura tu.
Sio top 4 ,naingia nafas ya 3 kibabe,Kwa hiyo mkuu wewe utaingia top 4???
Hahaha dah kweli kumtegemea Man U watushindie ubingwa ni mtihani. Ngoja tushinde tu mechi zetu tusubiri bahati tu sasa hamna namna.Itamsimamisha yupo Fred wa paun.mil 52
Hahahahahahahahah tuliyaona mapemaPoleni sana Manchester United imeshakuwa timu ya long terms project all over mmekwisha mmebakia kuwa timu ya Cheap cheap cheap option 😂😂😂😂😂
Bila kuajiri ma sporting directorMaboss washaifanya timu yetu kuwa ya majaribio
Zinarudi zote...Toa Martial weka Mata (huyu ankimbiza sana anahangaika sana uwanjani) Toa Dalot weka Young(huyu anapandisha sana mipira mbele na kupiga kross) acheze kulia Lindelof arudi pale kati, jones asogezwe kule kushoto.Kuwa mpole , wewe siulikuwa unapiga kelele Mimi kufungwa na Everton ,nikakwambia nilikuwa na majeruhi eneo la midfield, ukanicheka
Leo mapema tu ushalambishwa lolo
2-0
Tutaendelea kukumbushana tuMpaka sasa Ole Soksi ana 4/5 ya kufukuza kazi Next season kabla ya Christmas
HahahahahahahahahMkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
Mkuu leo unacheza na Zaha&Co. JichungeSio top 4 ,naingia nafas ya 3 kibabe,
Siku mnayocheza wewe na Chelsea ,
Ndio siku nitakayowapa mkono WA kwaheri ,maana mtakuwa mnagombania nafas ya 5 na 6