Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zinarudi zote...Toa Martial weka Mata (huyu ankimbiza sana anahangaika sana uwanjani) Toa Dalot weka Young(huyu anapandisha sana mipira mbele na kupiga kross) acheze kulia Lindelof arudi pale kati, jones asogezwe kule kushoto.
Sasa kocha wako atafanya hivo,? Wakati anawapalenda waingereza
 
Naona Matic project ipo kwenye ku expire, anamwangalia Siguirson apige na anamjua jamaa ni mbaya kwenye hiyo mipira, overall he is poor

Rashford anajiona star, kulaumu tu wenzake na hafanyi lolote

Pogba anazurura tu

Martial tumuulize ARV

Lukaku anazurura tu, japo hajapewa mpira wa maana

OGS anampanga Lindelof namba 2 ili kum accommodate Jones katikati

Sub ya kwanza inabidi atoke Matic aingie Scot
 
Kama mechi ya leo tunapigwa, j5 na man city then j2 na Chelsea siwezi kusema chochote naiyona top4 kwa mbali
 
Ivi nyie sindiyo juzi tu mshinda mechi nyingi na kusema Sosha Ni bonge la kocha. Mkafika mbali na kupanga matokeo toka Sosha achue timu.
Kwa kweli kwa sasa kocha yoyote atakayepewa hii timu hatadumu nayo. Ni timua timua tu. Maana ukubwa wa club na ubora wa timu havifanani. Sijui ni kwa muda gani mtatengeneza hii timu yenu iweze kushindana na City na Liverpool, achilia mbali Arsenal, Spurs na Chelsea.

Kumbuka kushindwa kupata top 4 nako kunatia ugumu wa kupata world class players ambao wengi wanapenda kucheza ligi ya mabingwa. Hivyo itapelekea kusajili wachezaji wa kawaida kwa bei ya kupigwa sababu tu club yenu inaonekana ni kubwa na tajiri.

Nawaonea huruma sana, Maana mnapitia kipindi kigumu kama walichopitia/na wanachopitia Liverpool na AC Milan.
 
Hahahahaha, kweli mkuu hawa wachezaji wanakera mno

Ipo siku watu watajiuliza kwanini hatukumsaini Pochetino, huyu kocha wa sasa baadhi ya maamuzi yake yanashangaza
Mkuu nakereka sana kale kajamaa kanaitwa AARON katakuja muda sio mrefu hapa..
 
Hadi kwa Everton?

Una forward ya £75m

Una playmakers wa £52m na £ 89m
IMG-20190421-WA0023.jpeg
 
Nilishasema sosha sio kocha ni muhamasishaji tu.
Hajui kupanga timu
Hajui kufanya sub
Hawez kumpiga sub pogba ata azingue vip
Ana komaa na philosofy za fergie nk hana tactics zake mwenyewe
In short the job is too big for him.
Man u ya sasa usiitegemee.
Wale wenye iman endeleen kusali nk
tuanzie hapo kwenye upangaji mkuu nadhani squad yetu aliyoiacha MO ndo ile ile aliyokuwa nayo sasa mkuu swali kwako ulikuwa unataka leo amuanzishe Messi??
 
Young anapiga sana cross? Mkuu haupo serious.. Young na Dalot ni vimeo
Zinarudi zote...Toa Martial weka Mata (huyu ankimbiza sana anahangaika sana uwanjani) Toa Dalot weka Young(huyu anapandisha sana mipira mbele na kupiga kross) acheze kulia Lindelof arudi pale kati, jones asogezwe kule kushoto.
 
Back
Top Bottom