Everton wakiwa hm wagumu kuruhusu goal
Ni kipindi cha mpito. Mkuu....mtakamback kipindi Cha pili
Ni kipindi cha mpito. Mkuu....mtakamback kipindi Cha pili
Hivi hii timu yetu inakosea wapi lakini. Hebu wachambuzi nisaidieni.
Mana naona hii weekend ishaharibika tayari
Ivi nyie sindiyo juzi tu mshinda mechi nyingi na kusema Sosha Ni bonge la kocha. Mkafika mbali na kupanga matokeo toka Sosha achue timu.Wachezaji wamekosa morali, Binafsi nilitaka Pochettino apewe hii timu aijenge taratibu,
HahaaaaaaaaOur best central defender anacheza right back duu
Kocha tunae


Si MimiIvi nyie sindiyo juzi tu mshinda mechi nyingi na kusema Sosha Ni bonge la kocha. Mkafika mbali na kupanga matokeo toka Sosha achue timu.
Watapigwa hadi watachakaaDah hivi hii Man U itamsimamisha City kweli?![]()
Ndivyo tulivyo mashabiki wa mpiraMmeshamgeuka ole sendeka?
Chelsea umewasahauBado mechi na mancity
Tutaelewana tu humu
Hatuna timu ya kupambana uo ndo ukweli
Mashabik wa man u tupunguze imani sana
Michezaji yetu inalipwa pesa nying ila wanacheza ungeseungese
No way out. Just depend on anaother matchDah hivi hii Man U itamsimamisha City kweli?![]()
Mechi ya kesho mnatoka draw na everton.
Jumatano mtampiga Man city 3-1, alaf mechi ya chelsea mtapoteza 1-0.
Nipigwe mawe yasipoteka haya matokeo.
Yupo Fred tulimnunua kwa £52mHaina kiungo mchezeshaji mwenye uwezo
Nilishasema sosha sio kocha ni muhamasishaji tu.
Hajui kupanga timu
Hajui kufanya sub
Hawez kumpiga sub pogba ata azingue vip
Ana komaa na philosofy za fergie nk hana tactics zake mwenyewe
In short the job is too big for him.
Man u ya sasa usiitegemee.
Wale wenye iman endeleen kusali nk
Itamsimamisha yupo Fred wa paun.mil 52Dah hivi hii Man U itamsimamisha City kweli?![]()