Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kama unategemea MuFC hii mdebwedo iisimamisha City mkuu haupo serious.😂😂
Mfungwe mkiwa mmejitahidi.
Derby hiyo mjue..
Kama unategemea MuFC hii mdebwedo iisimamisha City mkuu haupo serious.😂😂
Kwa kuwa anadanganyaHahaaaaaaa
Mkuu mbona umempiga mawe kabla hata ya hizo mechi kuchezwa![]()
MkomeWashatupiga 2-0 dahhh
Ni kipindi cha mpito. Mkuu....mtakamback kipindi Cha piliNilishasema sosha sio kocha ni muhamasishaji tu.
Hajui kupanga timu
Hajui kufanya sub
Hawez kumpiga sub pogba ata azingue vip
Ana komaa na philosofy za fergie nk hana tactics zake mwenyewe
In short the job is too big for him.
Man u ya sasa usiitegemee.
Wale wenye iman endeleen kusali nk
Wachezaji wamekosa morali, Binafsi nilitaka Pochettino apewe hii timu aijenge taratibu,Hivi hii timu yetu inakosea wapi lakini. Hebu wachambuzi nisaidieni.
Mana naona hii weekend ishaharibika tayari
Mmeshamgeuka ole sendeka?Wachezaji wamekosa morali, Binafsi nilitaka Pochettino apewe hii timu aijenge taratibu,