Tulia dawa iingie, kumbe ulimtaka sosha!Bodi nao hawajui wanachokitaka, unampaje mtu mkataba mapema vile???
Timu inatoka bila shot on target hata moja?? ina maana training wanajifunza nini??
Niliwahi kusema humu lakini, japo nlikubali sosha apewe mkataba, ila nliwahi kusema humu, sosha hana falsafa!!
Anawafungulia tu mbwa bandani, aya nendeni mkawinde.
Nimeamini aliyoyasema Jenas