Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unaifanya man u izd kuwa timu maarufu duniani ww siunaona mwenyewe unaacha ad kutafuta mkate wakila siku unakazana na keyboard kila mala manchester

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekwambia naacha kutafuta hela nan, tatizo lako unadhan kila mtu anapitia njia zako ww

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Baadhi ya comment humu zinadhihirisha ni namna gani watu bado fahamu za fikra zao zilivyofunga mfano swala la wazazi (Baba,mama) mtu analichukuliaje ni dogo kiasi hicho mpk kuanza kumtusi mzazi wa mtu Aise ????

Kuiondoa CCM itatuchukua karne kwa hali hii aise

13SEPTEMBER
 
Ana mahaba sana na huyu dogo

Lukaku overall hakufanya vibaya services zilikuwa chache,,Rashford anakosa utulivu..mfano kuna ule mpira aliunganisha juu kwa juu,pale si alikuwa anauweka kifuani then anapiga kwa uhakika??

Men,hatuwezi kumtegemea Rashford hata kwa asilimia 20..Ole aache double standard
Ole anamkosea sana lukaku kwa kuwa anamtia bench huku kirashford kinarukaruka tu kule ndani. Jana nimeumia sana kumwona lukaku anaenda nje huku rashford kimo ndani kinatoa tu macho!! Ole kama ataendeleza haya mapenzi ya kijinga simwoni akifika popote na hii team!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mc Tominay siyo wa mchezo ni kama ka fletcher vile katulia anakaba kwa ufundi tena ndani ya box bila kusababisha faulo kwa dakika 90 good boy.

Maoni yangu hakuna haja ya kupoteza hela kutafuta DM tena tuzibe pengo la Mata, na hererra kwa kumleta Ruben Neves na christian Eriksen,
Huyo Wan Bisaka aje ajaze nafasi ya Young asiyejua hata kupiga cross,

Tukamchukue Skinniar kuziba nafasi ya Bailly na tutafute wings mbili za maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kusajiri players wote hao misimu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya comment humu zinadhihirisha ni namna gani watu bado fahamu za fikra zao zilivyofunga mfano swala la wazazi (Baba,mama) mtu analichukuliaje ni dogo kiasi hicho mpk kuanza kumtusi mzazi wa mtu Aise ????

Kuiondoa CCM itatuchukua karne kwa hali hii aise

13SEPTEMBER
Mkuu kwangu mtu akivuka mipaka, amevuka mipaka

It doesn't matter whom I hit, I just hit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya comment humu zinadhihirisha ni namna gani watu bado fahamu za fikra zao zilivyofunga mfano swala la wazazi (Baba,mama) mtu analichukuliaje ni dogo kiasi hicho mpk kuanza kumtusi mzazi wa mtu Aise ????

Kuiondoa CCM itatuchukua karne kwa hali hii aise

13SEPTEMBER
By the way pole Mkuu, wanga bado wanaingia geto kwako kuwasha taa ukiwa umelala?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hivi vijamaa vinavyotuletea makelele humu recently vimetoka wapi??

Maana sijui ni soka la aina gani ambalo wanalifwatilia..
 
Pasi 48 zilizopigwa kwa sekunde mia na themanini na nne (184) = na dk 3, zikihusisha wachezaji wote 11 wa Barcelona kuanzia kwa golikipa hadi kwa Suarez, ndizo zilipekea kutengenezwa kwa goli lililomgusa shaw.

DNA ya kibaselona bado inaishi..

Jumanne ijayo mambo yatakua tofauti sana pale camp nou.

Visca el Barça

GGMU
IMG_20190411_130641.jpeg
 
Back
Top Bottom