Wewe mama usiku huu unahangaika jf mumeo aki m t o m b a housegirl uje uanzishe Uzi humu kulalamikaOndoa hilo li-signature lako, kwanza refu, halivutii. Na linachanganya. Mtu anashindwa kujua comment yako imeishia wapi.
Kuna mtu kakushauri hapo juu sijui hujamwelewa!!!
He knocked out PSG rememberRashford kimeo mechi zote MaU alizopoteza huyu dogo kasababisha nafasi za wazi sana anapoteza na hata confidence inapotea. Ole aachane naye
atakapoondoka marcos rojo hii namba 16 ni bora apewe scott mctominay, sielewi kwa nini tunataka kuingia kwenye mtego wa media za kiingereza za kutaka kumsajili declan rice.
hivi rakitic pamoja na arthur melo walikuwepo uwanjani?kama yupo mdau anayeamini siku moja rashford atakuwa mchezaji bora basi aendelee kuwa na imani hiyo mpaka kufa kwake.
man utd 0 barcelona 1
View attachment 1068168
Una akili kuliko bench la ufundi la man u?Rashford kimeo mechi zote MaU alizopoteza huyu dogo kasababisha nafasi za wazi sana anapoteza na hata confidence inapotea. Ole aachane naye
Mkuu naomba tuheshimiane hunifahamu sikufahamu naomba utambue heshima ni kitu cha bure.matusi ya nini sasa.Wewe kweli shoga nimeamini kama wasemavyo humu jf
Uliangalia mpira vizuri mkuu??Leo kuanzia kocha mpaka wachezaji walipanic.
Kocha alishindwa kupanga kikosi cha kazi na bado ankfanya sub za hovyo.
Wachezaji ndio ilikuwa full kupoteana pale kati, yani hawaonani, pasi hazifiki.
Kufupi tulistahili kupigwa hata saba.
Wewe kuwa shoga kama wasemavyo watu humu ni tusi?Mkuu naomba tuheshimiane hunifahamu sikufahamu naomba utambue heshima ni kitu cha bure.matusi ya nini sasa.
Smart guy
Mpaka hilo dirisha lifike mtakuwa mnacheza alhamisimkuu hatuna mwengine ndio maana anapangwa, wacha tuangalie dirisha lijalo la usajili kama kocha atakuwa na mipango ya kutafuta mwengine.
Amekuja na hasira zake huyo Mkuu mpotezee tu Maisha yameshampiga anamalizia hasira zake JFMkuu naomba tuheshimiane hunifahamu sikufahamu naomba utambue heshima ni kitu cha bure.matusi ya nini sasa.
Smart guy
Ole nae mech hii na ya wolves amezingua sana refer sub zake siku hiyo na Leo.Anawabeba waingereza wake na hakuna kitu wanafanyaRashford kimeo mechi zote MaU alizopoteza huyu dogo kasababisha nafasi za wazi sana anapoteza na hata confidence inapotea. Ole aachane naye
We kuna vitu hukuviona kulikua kuna mikakati sana pâle kati yakuwafanya barcelona kutopata mianya ya kupenyeza mipira yahatari, unafikiri barca kufunga goli moja nihiari yao !! Forwad line yako ndo ilikua butu ila midfild players wamefanya kazi yao kiasi chakeLeo kuanzia kocha mpaka wachezaji walipanic.
Kocha alishindwa kupanga kikosi cha kazi na bado ankfanya sub za hovyo.
Wachezaji ndio ilikuwa full kupoteana pale kati, yani hawaonani, pasi hazifiki.
Kufupi tulistahili kupigwa hata saba.
Sawa mkuuAmekuja na hasira zake huyo Mkuu mpotezee tu Maisha yameshampiga anamalizia hasira zake JF
komaeni na ligi tu muone jinsi gan tunaingia top 4