Inaonekana OGS bado anaimani na wachezaji waliopo nyuma katikati lakini hiyo inachagizwa na bajeti aliyonayo na vipaumbele vyake
Kuna source kama mbili nilisoma inaonesha OGS ana mpango wa ku spend kidogo pale nyuma, na Toby wa Spurs mwenye miaka 30 (mwezi wa saba anakuwa na release clause ya £25 million) na Manolas wa Roma mwenye miaka 27 ambaye Julai anakuwa na release clause £ 33 million)
Inaonekana OGS anaona kuna umuhimu wa kuongeza wachezaji wapya offensively kuliko kwenye ulinzi hususani mabeki wa katikati
Sent using
Jamii Forums mobile app