Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole aahidi kukifumua kikosi
Screenshot_2019-04-13-09-30-23.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu ya alichoongea OGS jana kwenye Press Conference

Atakuwa ruthless katika kukisuka upya kikosi chake. Kwa maneno yake amesema itakuwa survival for the fittest au survival of the best

Anahitaji wachezaji watakaojitokeza kupambana, kupigania badge. Ametoa mfano wa Scott na Fredy kwenye game za hivi karibuni

Uamuzi wa nani abaki utafanywa na yeye, Mick na uongozi. Je Mick atashiriki kama Assistant Manager au Sporting Director? Jambo ambalo ni la uhakika, japo bado Mick hajasaini mkataba wa kudumu, ni kwamba next season atakuwepo United

Valencia anaondoka msimu ujao. Boss ame confirm hilo. Je ataongozana za Rojo, Herrera, Mata, Darmian, Sanchez & co. Muda ndio utajibu kuhusu hawa wachezaji wengine

OGS amesema mazungumzo na kambi ya Herrera yanaendelea, na hali ya mkataba iliyopo huenda inamuathiri Herrera. Na Herrera kurudi kikosini huenda mpaka mechi ya City au ya Chelsea. Matic yupo karibu kurudi kikosini, pengine leo,

Mechi ya Barcelona ni kipimo cha United ipo wapi kwa kiwango. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya.

Sanchez huenda anaweza asiwe tayari mechi ya leo, huenda akawa involved game ya Barca. Lakini kwa sasa Alexis si majeruhi tena (injury free)

Tunahitaji points 15 kuingia top 3

Kunaweza kuwa na sura mpya kwenye nafasi za full backs. Young (red card), Shawa (10 yellow cards). Labda Rojo, Darmian, Phil Jones au kijana academy Lee O'Connor au Brandon wakapata nafasi

Rotation ya wachezaji inaweza kufanyika. Possibly Jesse, Martial wakaanza. Game ya leo inachezwa huku kichwani tukiwaza game ya Jumanne dhidi ya Barca

inawezekana ikawa motivational talk ili wachezaji wajitolee kwenye game zilizobaki mkuu Mc cane halafu mwisho wa msimu sura zikabaki zile zile tu
 
Westham awezi fungwa Mara mbili ..hivyo jiandaeni kuchezea kipigo ..huku kile cha mbwa koko kikitarajiwa mnamo jumanne ivi au jumatano. Wagonga nyundo wa London hawatatuangusha..

Twende kazi Westham..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi kumwana dogo janja greenwood kwenye kikosi ila uwepo wa jones pale nyuma unanitia shaka sana leo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
NAOMBA LIVE STREAMING LINK AMBAYO NAWEZA CHECK LEAGUE ZOTE ZA SOCCER

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Brendan Rodgers aliwahi kusajili wachezaji 9 akiwa Liverpool
1 lalana
2 Lambert
3 Nathan clyne

4 Divok origi
5 dejan Lovren
6 james Milner
7Alberto Moreno
8 Philip Coutinho
9, Sakho

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii siyo Kweli! Hao hawakuja Liverpool Kwa Pamona Bali walikuja Kwa Misimu tofauti.
Mfano mdogo huyo Milner kasainiwa na Klopp.

Na Liverpool haikuwahi Kuwanunua hawa (Clyne, Lallana, Lambert na Lovren) Kutoka Southampton Kwa Pamoja ndani ya Msimu mmoja.

NOTE: Hata ingelikuwa wamesainiwa Wote 9 kwa pamoja basi kwa Wachezaji Hao Shit Mediocre average Players bado hujasolve kitu kwani hata 40 hao unaweza kuwasajili kwa dirisha moja tu.
 
YAANI OGS ANAKUBALI TUFE KIROHO NGUMU NA HUYU DALOT? VERY LAZY PPAYER...LILE GOLI LA PHELIP ANDERSON AMENYIMWA ETI ALIKUWA OFFSIDE KUANGALIA MARUDIO KUMBE DALOT KWA UZEMBE WAKE ALIMUWEKA ONSIDE, WAMEWANYIMA GOLI BURE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom