My fellow ManUtd followers/supporters , Binafsi naungana na wanaochambua kwa undani hasa suala na combination ya kikosi chetu ManU.
Jamani kiuhalisia naikumbuka kabisa Mechi ya Barcelona na ManU golini alikua Van De Saar .... Ilikuwa FEDHEHAA ya kwaka ni sawa na Ndanda wakacheza na Al Ahaly au Everton....kwa macho meupeeeeeee utaona utofauti (u ll see clearly the difference by only naked eyes -nasisitiza)
Na kwakweli kama kuna mshabiki au mtu mwenye mapenz ya dhati na Timu hii HAWEZI KUTANDIKA MKEKA KWA UHAKIKA KUWA MECHI IPO 50/50 NA MANU ATASHINDA ......HAYUPO....na kama yupo afanye kama anajikuna.....
Frankly speaking, have no guts to watch the Humiliation. I will wait for lose results.......
Simple comparison YOUNG, JONES,SMALLING, LUKAKU, MCTOMINAY,DALOT, PEREIRRA, BAILY,LINDEROFF, .....UNAACHA HAWA UNAMUUZA MIKITHARIAN,
Duu, haya Kwenda kukutana na kina MESSI, SUAREZ,COUTIHNO, DEMBELE, DUUUUUU HAYA NAISHIA HAPO YANGU MASIKIO
Sent using
Jamii Forums mobile app