Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahaha, Sterling former Kop

Sasa hivi ni Citizen, halafu unategemea aje United

Sent using Jamii Forums mobile app

Possibly, as long as siyo direct transfer. Means ngumu in ku-cross moja kwa moja.

Ila ukipita kwingine inawezekana.

The last person ni Owen, sema ilimpotezea Legacy kiaina, maana mpaka leo ukijiuliza identity ya Owen ni LFC au Man Utd huwezi kuipata.
 
Hapati hata namba ,unadhan emery anaweka wapuuz, ana uwezo wa kumuweka nje mick na Auba?

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kwa nini asiweze? uyo mick Si ni bench warmer tu apo assanal?!!

Uyo Auba msaliti haezi pata club yeyote England hata crystal Palace isipokuwa arsenal tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3. Bailly
4. Smalling
5. Jones
  • smalling ameshasaini mkataba mpya halafu jamaa ndiye mlinzi wetu pekee mwenye takwimu nzuri za kiafya sidhani kama ni sahihi kumuondoa.
  • jones ameshapewa mkataba mpya na yupo kwenye mipango ya ole haijalishi ni mchezaji wa kitandani (injury prone).
  • bailly na marcos rojo hatma yao haijulikani.
  • mwisho united hawana uwezo wa kuondoa walinzi watano then wakaingiza wengine.
  • sijaona udhaifu wa lukaku hata tufikie maamuzi ya kumuondoa.
 
Kwa nini asiweze? uyo mick Si ni bench warmer tu apo assanal?!!

Uyo Auba msaliti haezi pata club yeyote England hata crystal Palace isipokuwa arsenal tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea pumba kweli ww cheltako ,

Nan kakwambia mick ni bench warmer, ndio maana nasema umeujua mpira baada ya muhind kuleta betting,

Unamtaja mick ambaye mwez ulioisha tu kachukua mchezaj bora wa arsenal,

Huyo odoi sijui hata mnamsifiaga nn, mm naonaga anarukaruka, tushakuwa na wachezaji waliochipuka kuzid huyo odoi,

Cheltako muache kelele, nafas ya 6 ni halali yenu,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
United has become more of a business club than a football club, Pogba miaka miaa hauzwiiii, sababu anabeba biashara za united kwa sasa, hatuleti watu wa mpira, tunaleta watu wa biashara zaidi uwanjani, ni mpaka united tutapokubali kuangalia mpira zaidi ndipo tutaanza safari ya kwenda kwenye ubora sasa,
Enzi za SAF alikuwa analeta cristiano hajulikani, lakin uwezo wake ulikua moto, akina anderson, luis nani, rafael na fabio, nani alimjua nemanja vidic?? Pat Evra, Lakin sisi leo tunataka kuuza jezi kuliko ushindi uwanjani, tunaleta di maria, falcao, sanchez, pogba, mikhi, wachezaji wengi sana wenye 28+ yrs, wachezaji waliotemwa wakaonekana hawafai wamekosa namba huko madrid kwao sisi ndo lulu,
Kuna sababu kwanini Klopp na Pep walikataa dili ya united, wakasema program yao sio nzuriii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inavyosemekana, tangu glazers waichukue timu, fergie alianza kupata shida katika management ya timu, ila walikua wakimsikiliza sababu ya aibu na u-legend wa fergie pale united, inasemekana pia ndio sababu iliochangia fergie kuamua kustaafu ghafla, sababu aliona career yake mbele inaenda chafuliwa fasta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom