Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duh huyu Messi hatari jamani
Jones na wenzake wanaubavu kweli hapa, kama timu yenye defense solid hivi imetobolea kirahisi sana
IMG_20190406_224712.jpeg
 
Unajua huyu mzee OGS simuelew kabsa. Saiv kafunga safar anaenda kuangalia game ya ATM vs Barca. Ndiyo yaleyale, alikula nauli akaenda kuangalia game ya Psg, timu ikashonwa 2. Saiv anatafuna nauli nyingn tena anaenda kuwaangalia barca, atashonwa ngap sasa? Hata kama hiyo hela haiathiri kitu lakin ni unazi. Hich kiherehere cha kuchawia mechi zawatu ni kibaya sana! Si ukae kweny makochi nyumban uangalie kweny tv!!

Sasa kwanini hakusafir kuangalia game ya Wolves wakicheza na burnely? Huu unazi asifikir kuna sehem anafika.

Mbn kina Klopp, pep, Allegri, ten Hag wa Ajax hawawashwi kufata timu pinzan nyumbn kwao? Wao hawana papara, wanaelewa kazi ilivyo.
Mkuu. . Umeongea kwa hisia sana.. Wewe Ni manure ee
 
Huoni kama UCL ni option nyingine ya kupata nafasi ya kucheza Champions League msimu ujao
Hakuna kinachosaidia yeye kuenda kuangalia Game ya Barcelona timu inatakiwa ikomalie Top 4 tuelewane hata tukimfunga Barcelona hatuwezi kuchukua ubingwa bila kuwa na mipango sahihi msimu ujao timu itaenda Futuhi na wachezaji wazuri watahama timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka, ziwe kama zile 8 mlizochapwa na United?
Sizani kama usiku wa leo utakua mnono wa ole Gunnar na man u players hasa hasa de gea (mikono 100)
Naona ni usiku wa kuweweseka sana na JINI M10 LAPULGA

Mimi binafsi nataka mpasuke nyingi, kipigo cha chini goal 7 (home and away)
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My fellow ManUtd followers/supporters , Binafsi naungana na wanaochambua kwa undani hasa suala na combination ya kikosi chetu ManU.
Jamani kiuhalisia naikumbuka kabisa Mechi ya Barcelona na ManU golini alikua Van De Saar .... Ilikuwa FEDHEHAA ya kwaka ni sawa na Ndanda wakacheza na Al Ahaly au Everton....kwa macho meupeeeeeee utaona utofauti (u ll see clearly the difference by only naked eyes -nasisitiza)
Na kwakweli kama kuna mshabiki au mtu mwenye mapenz ya dhati na Timu hii HAWEZI KUTANDIKA MKEKA KWA UHAKIKA KUWA MECHI IPO 50/50 NA MANU ATASHINDA ......HAYUPO....na kama yupo afanye kama anajikuna.....
Frankly speaking, have no guts to watch the Humiliation. I will wait for lose results.......
Simple comparison YOUNG, JONES,SMALLING, LUKAKU, MCTOMINAY,DALOT, PEREIRRA, BAILY,LINDEROFF, .....UNAACHA HAWA UNAMUUZA MIKITHARIAN,
Duu, haya Kwenda kukutana na kina MESSI, SUAREZ,COUTIHNO, DEMBELE, DUUUUUU HAYA NAISHIA HAPO YANGU MASIKIO

Mkuu nimefuatilia football muda sana na nlichogundua kinachoamua game sio ubora wa kikosi ni tactics na mipango tu ..... wazee wenyewe wa odd walikuwa wanaseza kumpa man u odd 9 huko alafu Barça wampe odd 1 lakin hawawezi rhinitis na wakithubutu watafilisika wote.....
I have a belief matokeo hayaendi kuwa kama wengi wanavyoogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaanzaje kuacha kumtaja messi sasa.!!

Kwanza ndio key player wa timu.. Kila timu ina mchezaji wake wa wakumtegemea kwenye kuamua mechi...

Sisi tunae messi, ndio namba moja..

Hauko sahihi asilimia zote uzijuazo wewe, messi hachezi peke yake anategemea michango ya wengineo wengi.. Labda kama unayaongea hayo kujifurahisha tu kama kishabiki, ukitumia common sense utaona mwenyewe..

Basi tusingekua na sub kama messi anaweza yote mwenyewe..

Golie tunae AirTerStegen
Ulinzi tunao semedo lenglet pique umtiti alba
Kati yupo busquet mwenyewe anacheza kama hayupo ila ndio ivo control dimba pale kulia raktitik kushoto Arthur melo dogo mtamu mtamu.

Mbele tunazo mashine sasa suares atabiriki muda wala saa anytime anachomesha ndani.. Winga dembele, malcom, coutinho sometimes. Kulia sitaki hata kumtaja unamjua..

Unaposema bara haichezi kama timu tukutane old Trafford siku ya jtano..

Black Panther Davet mwekundu mkorea -KANA-
Ningekuwa shabiki wa Barcelona ningekuwa disappointed sana

Naona anatajwa Messi zaidi kuliko inavyotajwa Barcelona

Tuiite basi Messi Fc, na sio Barcelona Fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom