Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

18:12

UNITED PUT OFF BY HERRERA WAGE DEMANDS
Ander Herrera
demands of a £160,000-a-week contract led to Manchester United walking away from negotiations, says the Sun.
The Spain midfielder has reportedly been interesting Ligue 1 champions PSG in recent weeks.
 
Hatari
Screenshot_20190406-201519.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United wangeweza cheza kama Atlatico Madrid mechi ya Jumanne ingekuwa nzuri maana kasi ya Barcelona sio ya mchezo mchezo
 
Huyu messi ,manyua MNA kazi ya ziada,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hivi Team Kama Barcelona Unaingalia Ili Iweje Maana Inajulikana Kabisa Inavyocheza Pique Anapiga Kwa Rakitic, Rakitic Anapunguza Wa Kwanza Anapiga Mpira Pemben Kwa Messi Messi Anapiga Mtu Kanzu Anaweka Kwa Suarez Suarez Anatisha Anaweka Pemben Kwa Coutinho Coutinho Anarudisha Kwa Messi Messi Na Degea Mama Yangu Degea Analala Chin Mpira Unapigwa Banana Gooooooooaaaaaal Mwisho Wa Siku Barcelona 4 Nyumbu 0

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Si ndy hapo sasa.....yan kila kitu kipo wazi
 
Habari njema kwa sisi ukawa, Messi katoka mzima hii game hana injury, kesho anapanda ndege kuja jiji la Manchester

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hakuna kinachosaidia yeye kuenda kuangalia Game ya Barcelona timu inatakiwa ikomalie Top 4 tuelewane hata tukimfunga Barcelona hatuwezi kuchukua ubingwa bila kuwa na mipango sahihi msimu ujao timu itaenda Futuhi na wachezaji wazuri watahama timu
 
Kwenye maisha lazima uwe na Mipango then asilimia 10 unasubili bahati sio juhudi kidogo 90% unataka bahati hii haipo wasipoangalia wachezaji Futuhi inahusika
 
Huyu kocha kaenda tu ili aonekane mbele ya media yuko serius.....cha ajabu ni kua pamoja na kwenda kumshangaa mess mana ndicho kilichompeleka, kipigo anakula. Man U probability ya kupita ni 0.98%
 
Sizani kama usiku wa leo utakua mnono wa ole Gunnar na man u players hasa hasa de gea (mikono 100)
Naona ni usiku wa kuweweseka sana na JINI M10 LAPULGA

Mimi binafsi nataka mpasuke nyingi, kipigo cha chini goal 7 (home and away)
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ladies and gentlemen..... Here's our biggest fan ndani ya machinjio...

You better get scared... Bcoz we are coming for you
IMG_20190406_223420.jpeg
 
Back
Top Bottom