Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yeah direct transfer ni ngumu sana

Lakini hata indirect inakuwa na ukakasi especially mchezaji akipita timu zote mbili

Mfano mchezaji apite United na Everton, halafu aje Liverpool ni mtihani huo mkuu
Possibly, as long as siyo direct transfer. Means ngumu in ku-cross moja kwa moja.

Ila ukipita kwingine inawezekana.

The last person ni Owen, sema ilimpotezea Legacy kiaina, maana mpaka leo ukijiuliza identity ya Owen ni LFC au Man Utd huwezi kuipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bailly ana challenge moja kubwa, sometime ni reckless lakini kiujumla ni beki mzuri

Smalling is our best defender on aerial ball, best defender ku deal na speedy attackers, sio mzuri kwenye kuufanya mpira anachotaka ila kwangu ni Mr. reliable

Rojo ni prone to injury, reckless pia ninaona level zake ni kucheza Everton na Watford

Jones sio mbaya kiivyo, ila ninaona sio good enough kwa level ya United

Kuongezwa mkataba kwa Jones inaonekana either OGS ana mpango naye au ameongezwa mkataba ili hata akiondoka, isiwe bure

Kwangu naona kama ni kuondoa watu pale nyuma (CD) aanze na Rojo na Jones
  • smalling ameshasaini mkataba mpya halafu jamaa ndiye mlinzi wetu pekee mwenye takwimu nzuri za kiafya sidhani kama ni sahihi kumuondoa.
  • jones ameshapewa mkataba mpya na yupo kwenye mipango ya ole haijalishi ni mchezaji wa kitandani (injury prone).
  • bailly na marcos rojo hatma yao haijulikani.
  • mwisho united hawana uwezo wa kuondoa walinzi watano then wakaingiza wengine.
  • sijaona udhaifu wa lukaku hata tufikie maamuzi ya kumuondoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha, jamaa umenichekesha, eti muweke Mata japo basi tu ila muweke

Wanamuita Mata Mr. Nice Guy, anapendwa na kila mtu

Lakini ukweli ni kwamba kwenye kufanya maamuzi lazima tuondoe hisia tutumie akili kufikiria, Mata aende, arudi kama ambassador siku za mbele huko
Lukaku na Smalling wabaki....kweny list muweke mata japo bas tu ila muweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaamini katika player's spirit zaidi kuliko kipaji ndio maana tetesi za usajili zimejaa sura za kiingereza zaidi.
SAF was the best tactician huwezi mlinganisha na OGS kwa chochote alikuwa flexible according to opponent anayekutana nae

OGS anastruggle now opponent wameshaujua mfumo wake na plan B inamshinda na anashindwa kuwaeleza ukweli wachezaji wanaocheza chini ya kiwango OGS hana ubavu kumpiga benchi Pogba, Rashford hata kama wanacheza vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bailly ana challenge moja kubwa, sometime ni reckless lakini kiujumla ni beki mzuri

Smalling is our best defender on aerial ball, best defender ku deal na speedy attackers, sio mzuri kwenye kuufanya mpira anachotaka ila kwangu ni Mr. reliable

Rojo ni prone to injury, reckless pia ninaona level zake ni kucheza Everton na Watford

Jones sio mbaya kiivyo, ila ninaona sio good enough kwa level ya United

Kuongezwa mkataba kwa Jones inaonekana either OGS ana mpango naye au ameongezwa mkataba ili hata akiondoka, isiwe bure

Kwangu naona kama ni kuondoa watu pale nyuma (CD) aanze na Rojo na Jones

Sent using Jamii Forums mobile app
nafasi ya DOF ipo wazi mkuu fanya haraka utume CV yako kabla mr ed woodward hajamchagua rafiki yake wa karibu.
 
Hahahahahaha, jamaa umenichekesha, eti muweke Mata japo basi tu ila muweke

Wanamuita Mata Mr. Nice Guy, anapendwa na kila mtu

Lakini ukweli ni kwamba kwenye kufanya maamuzi lazima tuondoe hisia tutumie akili kufikiria, Mata aende, arudi kama ambassador siku za mbele huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha tu, mata namkubali sana sema ndy hivyo yan.
 
SAF was the best tactician huwezi mlinganisha na OGS kwa chochote alikuwa flexible according to opponent anayekutana nae

OGS anastruggle now opponent wameshaujua mfumo wake na plan B inamshinda na anashindwa kuwaeleza ukweli wachezaji wanaocheza chini ya kiwango OGS hana ubavu kumpiga benchi Pogba, Rashford hata kama wanacheza vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante Belo ,kama kweli tetesi za usajili zinazozagaa zitatokea kama zilivyo,tutafuteni kitu kingine cha kutupa raha msimu ujao pia.
 
Man United wawe makini katika swala la kuondoa wachezaji na kupata mbadala sahihi wasijekufanya upuuzi wa LVG kuuza strikers halafu kumtegemea Fellain
 
Unajua huyu mzee OGS simuelew kabsa. Saiv kafunga safar anaenda kuangalia game ya ATM vs Barca. Ndiyo yaleyale, alikula nauli akaenda kuangalia game ya Psg, timu ikashonwa 2. Saiv anatafuna nauli nyingn tena anaenda kuwaangalia barca, atashonwa ngap sasa? Hata kama hiyo hela haiathiri kitu lakin ni unazi. Hich kiherehere cha kuchawia mechi zawatu ni kibaya sana! Si ukae kweny makochi nyumban uangalie kweny tv!!

Sasa kwanini hakusafir kuangalia game ya Wolves wakicheza na burnely? Huu unazi asifikir kuna sehem anafika.

Mbn kina Klopp, pep, Allegri, ten Hag wa Ajax hawawashwi kufata timu pinzan nyumbn kwao? Wao hawana papara, wanaelewa kazi ilivyo.
 
Bailly ana challenge moja kubwa, sometime ni reckless lakini kiujumla ni beki mzuri

Smalling is our best defender on aerial ball, best defender ku deal na speedy attackers, sio mzuri kwenye kuufanya mpira anachotaka ila kwangu ni Mr. reliable

Rojo ni prone to injury, reckless pia ninaona level zake ni kucheza Everton na Watford

Jones sio mbaya kiivyo, ila ninaona sio good enough kwa level ya United

Kuongezwa mkataba kwa Jones inaonekana either OGS ana mpango naye au ameongezwa mkataba ili hata akiondoka, isiwe bure

Kwangu naona kama ni kuondoa watu pale nyuma (CD) aanze na Rojo na Jones

Sent using Jamii Forums mobile app
Smalling. Rojo. Jones. Young. Baily sio wachezaji wa standards za United.

Uingereza unawabeba tu.

Ingekuwa ni uwezo wangu ningewatimua tuanze upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua huyu mzee OGS simuelew kabsa. Saiv kafunga safar anaenda kuangalia game ya ATM vs Barca. Ndiyo yaleyale, alikula nauli akaenda kuangalia game ya Psg, timu ikashonwa 2. Saiv anatafuna nauli nyingn tena anaenda kuwaangalia barca, atashonwa ngap sasa? Hata kama hiyo hela haiathiri kitu lakin ni unazi. Hich kiherehere cha kuchawia mechi zawatu ni kibaya sana! Si ukae kweny makochi nyumban uangalie kweny tv!!

Sasa kwanini hakusafir kuangalia game ya Wolves wakicheza na burnely? Huu unazi asifikir kuna sehem anafika.

Mbn kina Klopp, pep, Allegri, ten Hag wa Ajax hawawashwi kufata timu pinzan nyumbn kwao? Wao hawana papara, wanaelewa kazi ilivyo.
Unazani yeye hapendi kumuangalia "little Magician" ,Messi live.

"I will be myself" huwa anapenda kusema hivyo.

Sent using simu mbovu
 
Unajua huyu mzee OGS simuelew kabsa. Saiv kafunga safar anaenda kuangalia game ya ATM vs Barca. Ndiyo yaleyale, alikula nauli akaenda kuangalia game ya Psg, timu ikashonwa 2. Saiv anatafuna nauli nyingn tena anaenda kuwaangalia barca, atashonwa ngap sasa? Hata kama hiyo hela haiathiri kitu lakin ni unazi. Hich kiherehere cha kuchawia mechi zawatu ni kibaya sana! Si ukae kweny makochi nyumban uangalie kweny tv!!

Sasa kwanini hakusafir kuangalia game ya Wolves wakicheza na burnely? Huu unazi asifikir kuna sehem anafika.

Mbn kina Klopp, pep, Allegri, ten Hag wa Ajax hawawashwi kufata timu pinzan nyumbn kwao? Wao hawana papara, wanaelewa kazi ilivyo.
Mkuu kwanza naomba nikwambie kwann makocha wanaenda kuangalia mechi uwanjani na sio kwenye TV kana sisi.....Makocha wanaenda uwanjani kabisa ili waone position ya kila mchezaji na movement zao nje ya mpira, kwenye TV tunaona mpira tu unapoeleweka but ukiulizwa je kuna movement gani wanazifanya wasipokuwa na mpira au wakiwa na mpira wachezaji wengne wanakaa wapi inakuwa shida.....so mm kwangu naona ni sawa as long as kocha anachukua kitu kutoka kwenye game hii..... pia hao makocha uliowataja sio kweli kwamba hawaendagi kuangalia Mechi za wapinzani sio kweli, sema tu Manchester ni brand kubwa so kocha anaangaliwa wachezaji wanaangaliwa..... Issue anazofanya pogba si mendy nae anafanya mbona mendy haongelewi

In summary

Kwenye TV, unaona kile TV inachotaka uone

Uwanjani, kocha anaona kile anachotaka kuangalia

Kiufupi maelezo yako yamenyooka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man United wawe makini katika swala la kuondoa wachezaji na kupata mbadala sahihi wasijekufanya upuuzi wa LVG kuuza strikers halafu kumtegemea Fellain
Hahaaaa

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Unajua huyu mzee OGS simuelew kabsa. Saiv kafunga safar anaenda kuangalia game ya ATM vs Barca. Ndiyo yaleyale, alikula nauli akaenda kuangalia game ya Psg, timu ikashonwa 2. Saiv anatafuna nauli nyingn tena anaenda kuwaangalia barca, atashonwa ngap sasa? Hata kama hiyo hela haiathiri kitu lakin ni unazi. Hich kiherehere cha kuchawia mechi zawatu ni kibaya sana! Si ukae kweny makochi nyumban uangalie kweny tv!!

Sasa kwanini hakusafir kuangalia game ya Wolves wakicheza na burnely? Huu unazi asifikir kuna sehem anafika.

Mbn kina Klopp, pep, Allegri, ten Hag wa Ajax hawawashwi kufata timu pinzan nyumbn kwao? Wao hawana papara, wanaelewa kazi ilivyo.
Hivi Team Kama Barcelona Unaingalia Ili Iweje Maana Inajulikana Kabisa Inavyocheza Pique Anapiga Kwa Rakitic, Rakitic Anapunguza Wa Kwanza Anapiga Mpira Pemben Kwa Messi Messi Anapiga Mtu Kanzu Anaweka Kwa Suarez Suarez Anatisha Anaweka Pemben Kwa Coutinho Coutinho Anarudisha Kwa Messi Messi Na Degea Mama Yangu Degea Analala Chin Mpira Unapigwa Banana Gooooooooaaaaaal Mwisho Wa Siku Barcelona 4 Nyumbu 0

Back
Top Bottom