Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
Mkuu lile la Figo sio deal tu, nlisoma story yao Perez alipiga ndege wawili kwa wakati mmoja.... Ilikuwa hivi kipindi Perez anagombea pale Madrid, Madrid walikuwa na rais wao jna lmentoka...sasa jamaa katika campaign na board ya Madrid aliahidi kumleta Figo, alafu alivyopata nafasi ya kuongea na Figo Akawekeana Bet na Figo, kuwa endapo Perez akichukua kiti cha urais bas Figo ataenda Madrid...na Figo alikubali maana Perez hakutazamiwa kushinda kabisa...hahahahaaaaaaaa tumuige mzee florentino perez na fitna zake.
sterling amekuwa hatari kuliko smg
At the end Perez akashinda, na Figo akatakiwa kutimiza ahadi, jamaa wanasema Figo alimuomba sana rais Barça alipe kiasi fulan abaki Barça but kiasi kikawa kikubwa mno so akaenda Madrid kishingo upande ila.... .
Sent using Jamii Forums mobile app
