Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale wanaoendelea kumtetea Woodward, Kocha msaidizi Mike phelan amekataa kusaini hadi mfumo wa management ubadilishwe.
https://www.dailymail.co.uk/sport/f...agreeing-stay-Ole-Gunnar-Solskjaers-No-2.html

So moyes, lvg, Mou, na sasa Phelan wote wanaongea same thing bado mnafikiri tatizo ni makocha wetu?

Anataka
-mascout wapunguzwe
-mawasiliano yanayoeleweka baina ya benchi la ufundi na wamiliki na uongozi wa utd.
-director wa football etc
Ole alipaswa kuwa na msimamo sawa na mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ain't easy man hyo mentality iko mpka kwa baadhi ya united legends let's see lakn naamin ata ole n muumini wa wachezaj wa kingereza pia
media zao pamoja na wachambuzi wao wa soka wenye ufahamu na wale wanaojitoa ufahamu kwa mapenzi yao binafsi ya timu zao walizowahi kuzichezea pamoja na utaifa wao kwa kiasi kikubwa wanawafanya raia wao wawe na sifa takribani tatu.
  1. wawe na gharama kubwa unapowahitaji hususani timu kubwa.(overpriced)
  2. wengi wao wanawapa sifa nyingi pasina ukweli wa sifa hizo.(overrated)
  3. wanawatangaza sana japo hili si vibaya kwa sababu ni wachezaji wa nyumbani (overhyped)
mchezaji wa kiingereza akiwa na kipaji kidogo cha soka bei yake inakuwa kubwa sana kwa sababu vijana wengi wa kiingereza hawana vipaji halisi vya soka, inamaana kama uzalishaji wa vipaji ni mdogo na mahitaji ni makubwa lazima bei iwe kubwa halafu kwa mujibu wa sheria ni lazima uwe na wachezaji 8 waliokulia uingereza kama nitakuwa nipo sahihi.

naamini kama utawakusanya wachezaji 20 wa kiingereza wanaochipukia ambao wanacheza eneo la kiungo basi utapata mchezaji mmoja tu mwenye skills, intelijensi ya soka na kwa taifa kubwa huu ni udhaifu mkubwa wa kimfumo.

lakini ukienda nchi kama spain, brazil, germany, netherland na nchi nyenginezo wanazalisha vipaji mara kwa mara na si kwamba eti hawana media za kuwapa promo wachezaji wao wawe ghali bali wanafanya hivyo kupunguza mzigo wa wachezaji wasiokuwa na timu za uhakika za kuchezea, hivi jamani utawasifu akina neymar wangapi nchini brazil kila baada ya muda mchache?

tukija kwenye ishu ya man united binafsi sichukizwi na wachezaji wa kiingereza wenye vipaji (technically gifted or talented) ambao wana kitu muhimu zaidi wanachoweza kukupa ndio maana sijawahi kuwaponda wayne rooney, paul scholes, steven gerrard, frank lampard, joe cole, ferdinand, terry, robbie fowler, michael owen, shearer, andy cole na wote hao nimewashuhudia wakicheza tokea mwaka 2001.

nachukizwa na wale wasiokuwa na maajabu makubwa ya kisoka either technically or talent , ni ujinga kulipa hela nyingi sana kwa mchezaji wa kiingereza ambaye uwezo wake wa kisoka hauna tofauti na mchezaji wa nchi za dunia ya tatu, ni lazima kama tunataka tuondoke kwenye huu mkwamo tunahitaji kuacha huu utamaduni wetu wa kukumbatia wenye underdog mentality kwa sababu ya utaifa na man united utaifa upo tokea nyakati za fergie japokuwa mwenyewe hajawahi kukiri hadharani.

jaribu kuangalia timu kama barcelona, bayern munich zote hizi zimejaza wachezaji wazawa wenye uwezo wa kujisimamia bila ya kutegemea msaada mkubwa kutoka kwa wageni tofauti na wachezaji wengi wa kiingereza ambao wengi wao wanasukumwa zaidi na wachezaji wa kigeni.

wakati wewe unalipa paundi millioni 35 kwa ajili ya mpuuzi andy carroll mwenzako analipa paundi millioni 27 kwa ajili ya robert lewandowski yule mwenye miaka 24 je nani ameramba dume?
wakati wewe unahangaika kumsajili declan rice or eric dyer kwa pound millioni 40 haliyakuwa hawana utofauti wowote na scott mctominay kimpira mwenzako anakwenda kumsajili ndombele, pjanic, koke, matuidi, de jong je yupi amepata zaidi?

ashley young, phil jones, smalling, luke shaw, scott mctominay, jesse lingard, marcus rashford, angel gomez na gardner jamani tayari tushatimiza wachezaji 8 wa kiingereza na wameshatosha kwenye kikosi chetu cha kwanza tusitafute wengineo waliojaaliwa zaidi kipaji cha kupiga square pass kama mchezaji wa uswahilini kwetu labda awe jadon sancho kidogo ana muelekeo ikiwa hatovimba kichwa hapo mbeleni.

wakati wenzetu liverpool wameshachoshwa na captain henderson cha ajabu sisi bwana phil neville anatuvumishia stori za eric dyer, kadri tutakavyowakumbatia wachezaji aina ya dyer, rice ndivyo tutakavyozidi kudhalilishwa na timu zinazoweza kumiliki mpira na pressing ya hali ya juu kama liver, city, psg,barcelona.

tujisahihishe bado hatujachelewa naamini sheria bado hazijalazimisha wachezaji wa kiingereza wacheze kikosi cha kwanza kwa takwimu maalum.

wakuu munakumbuka kipindi kile sheikh rio ferdinand mnamo mwaka 2004 amefungiwa miezi 8 nafasi yake ikawa inazibwa na wes brown, neville brother😛😛😛(flashback)



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odoi is crap

Rice is crap

They are all moderate, can't take us from where we are

Better promote Chong,

Better promote Alliu Traore instead of those English over hyped players

Better promote Mason a deserved English player to get the nod

Sent using Jamii Forums mobile app
naapa na mungu hii video declan rice imenishangaza sana nilipokuwa naiangalia muda huu, wala sihitaji kupoteza tena muda wangu kuangalia mechi ya west ham ili nimuone huyu bwege.
jamani mafundi wapo tele duniani
 
Hahaha,Dunia ya sasa watakwambia Pesa Kwanza.

Kwanini tusikifirie labda Paul anatumia Mawazo ya bwana Mholanzi Rud van, Kwamba Man united haina mpango wa kushindana bali inampango wa kushiriki.

Jambo la Muhimu na kubwa kwa wachezaji walio wengi ni kunyakua mataji na medali.

Man United kipindi cha mpito sasa kimeonekana kuzoeleka na hakina suluhisho.
Hivi sasa Ukimuuliza shabiki wa Man u kama klabu kubwa duniani lini inaweza kutwaa Epl au UEFA,kinabaki ni kigugumizi.

Paul labda anaiona AC Milan,Arsenal,liver na inter Mpya ndani ya OT imeshawadia.

Familia ya glazer na Mwenzie Ed Wanatufanyia Uhuni hawa Watu.

Kama timu haina mwelekeo wala mipango ya kueleweka,yanini kupoteza Kipaji na muda...??

Asilimia 75 ya Wachezaji( kwa uchache darmian,Smalling,Jones,Young,)wa Man united hawapaswi kuwapo hapo mpaka hivi sasa peleka Ipswich na Blackburn Rovers wasaidie jahazi huko.


Ole kwa Mtazamo Wangu ni Mr.Yes Man.

Degea na Pogba wakiona wanapoteza muda na vipaji vyao OT,Mimi nawaunga mkono Asilimia zote.

Uhuni wa familia ya Glazer inamwisho.
Young Mkataba
Jones Mkataba
Smalling Mkataba, WTF..??????Oooh shittty.




Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri sana, me pia nawasikitikia wanao mlaumu Pogba. Ingelikuwa mimi pia ningefanya hivyo na zaidi.Club tajiri zaidi duniani, unaona haya kuomba Pound 500,000/- per week??
 
Ain't easy man hyo mentality iko mpka kwa baadhi ya united legends let's see lakn naamin ata ole n muumini wa wachezaj wa kingereza pia

Sent using Jamii Forums mobile app
basi atuletee raheem sterling, harry kane pamoja na kyrian trippier kama ana shida ya waingereza na hao wote washaizoea ligi.
madrid walimsajili luis figo kutoka barcelona na sisi tufanye hivyo.
😾😾😾😾​
 
The real definition of a mercenary

Pogba hawezi kupata huo mshahara popote duniani labda kwa wale watu wafupi wenye macho madogo wanaoishi Asia

Vizuri sana, me pia nawasikitikia wanao mlaumu Pogba. Ingelikuwa mimi pia ningefanya hivyo na zaidi.Club tajiri zaidi duniani, unaona haya kuomba Pound 500,000/- per week??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Rashford anatangulia mbele ya Lukaku kwenye pecking order ......
Screenshot_2019-04-05-20-28-40.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wenye Azam king'amuzi cheki channel 404 United under 23 wanacheza na West Brom pale Old Trafford

Waangalie akina Gomes, Chong, Greenwood, Nishan Burkat, Dylan Levett, Ramazan, Bohui & co

Pia Rojo yupo nadhani kwa ajili ya kupata match fitness na Pereira kwenye midfield

Ngoja niangalia nikivutia kasi mechi ya Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani, labda auzwe next season

Unajua Pogba msimu huu ukiisha anabaki na miaka 2 kwenye mkataba na bado club ina option ya kumsainisha mwaka mmoja mwingine, hivyo kuondoka ni ngumu sana unless united awe amepata mbadala

Kumbuka United ana mpango wa kuondoa wachezaji kama 6, na kununua kama 4 kwa hiyo wafanya maamuzi watakuwa bize sana hii summer

Kwahiyo kwa deal ambazo hazina haraka hawataangaika nazo
Unataka kunambia Tutamuachia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom