Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jogoo hachukui ubingwa
Kikwazo ni Chelsea tu sababu ana tabia ya kupandisha kiwango chake akicheza na sisi!
Nikimfunga Chelsea naanza party home maana Man City kachoka sana hata Spurs hamfungi achilia mbali Man U na CP
 
Kikwazo ni Chelsea tu sababu ana tabia ya kupandisha kiwango chake akicheza na sisi!
Nikimfunga Chelsea naanza party home maana Man City kachoka sana hata Spurs hamfungi achilia mbali Man U na CP
Ndoto nyevu iyo ni rotation tyu ya kikosi inafanywa na pep
 
Magazeti yasiwe biases, yawe professional

Lakini hapa siongelei magazeti, naongelea watu wa mpira tena wenye influence flani kwenye timu wapo tayari club iwe na famba ilimradi tu awe mwingereza
Magazeti yenyewe ya waingereza mlitegemea yawapigie chapuo wachezaji wa kibrazil? It is impossible
Lazima yatakuwa biased kwa kiwango fulani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusiwe biased kwenye hiyo list ni wachezaji wawili tu ambao kwa msimu wanacheza angalau match tano hivyo ulitaka awekwe smalling over bailly ambaye msimu huu hajafanya lolote la maana kikosini ?
Au ulitaka awekwe young over Damian ambaye msimu unakaribia kuisha amecheza mechi Moja?

Tunataka overhaul lakini siyo overhaul ya kivuta bangi na kwa hali ya team ilivyo tusitegemee hata kama team itanunua wachezaji kumi at once tutabeba EPL next season team itahitaji kukaa pamoja angalau for a season.

Mpira hauna mafanikio ya haraka kama kuoka mikate lazima tuwe na subira na mipango ya kutuondoa hapa tulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lugha rahisi manure kubeba ubingwa EPL mpaka misimu 4 ijayo kuanzia SASA(huu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ogs anafanya kazi kwa kukariri zaidi ila si kuangalia uhalisia. Wachezaji tulionao kipindi cha fergie walitosha kutupa makombe kwa kuwa timu pinzani zilikuwa dhaifu zaidi lakini zama hizi timu zinatofauti ndogo sana kiuwezo hivyo tulitakiwa tuwe na cream nzuri zaidi ya wachezaji kutokana na ukwasi wetu.
ggmu
The only reason solksjaer ni kocha wa Manchester is because he's cheap and ni Mr. Yes sir,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man U destroy football market.
They bought Pogba for £79m, every team started demanding more than Pogba deal.

They pay mega salary to Alexis Sanchez, now Herrera wants more, De Gea wants £350,000 per week.
Pogba wants £500, 000 per week...

Other team's players could demand same thing as done in Man u players

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Ok hajafanya improvement yoyote, but alipokuwa anachukua timu tulikuwa points 11 kutoka nafasi ya nne ,kwa sasa tuko points 3(5) kutoka position hiyo.

Sent using simu mbovu
You guys you are so fun .

Mnaongea kuhusu top four as if it is a trophy, Manchester ndio timu ya kulilia top four kweli? , nakumbuka kipindi tunaicheka arsenal kwa kupigania kuingia top four, leo imetugeukia (karma is bitch?

Now let's talk about the position ambayo real Manchester utd inatakiwa kuwa. The time mourinho anaondoka we were nineteen points behind the leader, and how about now, tupo points ngapi behind the leader? Come and tell me about the improvement. Stop talking about top four kama vile kuna medal yyte timu inapata kwa kuingia top four.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man U destroy football market.
They bought Pogba for £79m, every team started demanding more than Pogba deal.

They pay mega salary to Alexis Sanchez, now Herrera wants more, De Gea wants £350,000 per week.
Pogba wants £500, 000 per week...

Other team's players could demand same thing as done in Man u players

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Soda ilikua inauzwa 70/=, saizi inauzwa 600/=, hii unaona ni sawa, lakini kwenye mpira wachezaji kupanda bei unailaumu Manchester, hujui kama mpira ni biashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soda ilikua inauzwa 70/=, saizi inauzwa 600/=, hii unaona ni sawa, lakini kwenye mpira wachezaji kupanda bei unailaumu Manchester, hujui kama mpira ni biashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipind pogba anavunja rekod,na Sanchez analipwa 500k ,soda ilikuwa 70/=??

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kipind pogba anavunja rekod,na Sanchez analipwa 500k ,soda ilikuwa 70/=??
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
wakati Sanchez analipwa 500k unajua Ronaldo, Messi, Bale, Neymar, Lavezzi, Oscar na Tevez walikuwa wanalipwa hela ngapi??
Ronaldo kanunuliwa kwa paundi 80 milioni mwaka 2009 miaka minne badae Bale akanunuliwa kwa paundi 85 milioni (mwaka 2013) na Pogba akanunuliwa kwa paundi 89 milioni mwaka 2016 kutoka mwaka 2009 mpaka 2013 ni ongezeko la paundi 5 milion, kutoka 2013 mpaka 2016 ni tofauti ya miaka mitatu na ongezeko la paundi ni milioni 4 according to you hili ongezeko la paundi 4 milioni ndo limeharibu soko la ununuzi wa wachezaji????
 
You are assnal fan, may be ndio maana ni ngumu kuelewa, i don't blame you.

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kubwabwaja, mpaka aje tony pulis kocha wa ndoto yako
FB_IMG_1553701921241.jpeg

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Back
Top Bottom