Babu mbona mapema ngoja game iishe mipango ya kocha huijuiBwege kweli hili timu na viongozi wake wote.
Majirani watakua wanaonewa na Wolves mpaka lini?
Huu mchezo hauitaji hasira mkuu
Tuandike barua UEFA kuwaomba Barcelona waendelee na hatua inayofuata, vinginevyo tutadhalilika.
Tuandike barua UEFA kuwaomba Barcelona waendelee na hatua inayofuata, vinginevyo tutadhalilika.
Mimi siyo mgeni kwa Man U najua kila mchezaji na tabia zao hakuna mchezaji yoyote wa kupambana kwa ajili ya timu.
Top 4 umtoe nani sasaBad night, inaumiza kuchapwa na hawa jamaa. Sijui kama kweli tupo serious na top four.