chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,896
Una internet yenye kasi?Wakuu nataka kustream nafanyaje au kuna app nidownload ,game ya Wolves vs Man Utd
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Damu ya Yesu
Una internet yenye kasi?Wakuu nataka kustream nafanyaje au kuna app nidownload ,game ya Wolves vs Man Utd
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiposhinda leo madhara yake ni makubwa mno, tutakuwa hatarini kukosa top four, mbaya zaidi wachezaji watakosa kujiamini kwa mechi na Barcelona katikati ya wiki ijayo.
Tusiposhinda leo madhara yake ni makubwa mno, tutakuwa hatarini kukosa top four, mbaya zaidi wachezaji watakosa kujiamini kwa mechi na Barcelona katikati ya wiki ijayo.
Aaaaaaah, haya si ya kuchekaLukaku anamdondoshea mipira ya kichwa lingard anakaba
Fred yupo vizuri banaFred ameshafail man u,dalot kama ni mtt aendelee kukaa nje kwanza lingard hana mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole juzi alisema, points 15 zinatosha kumaliza ligi top 4
Lakini mimi mtazamo wangu ni kama wako, hii mechi tunapaswa kushinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Download BURMA TV kwa PlaystoreWakuu nataka kustream nafanyaje au kuna app nidownload ,game ya Wolves vs Man Utd
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sisi tunaamini hivyo kuliko kuku kubeba ndoo bora mkatuachia majirani zenu hizo 3 points hivyo nasi twawaombe mshinde haka ka game ili mihemko ipungue siku za usoni.Katika michezo iliyobaki futa kabisa point hata moja katika mchezo wetu na majirani. Majirani wanagombea ubingwa hawatataka utani.