Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuandike barua UEFA kuwaomba Barcelona waendelee na hatua inayofuata, vinginevyo tutadhalilika.
Tukithubutu kufanya hivyo tunalipishwa fine kubwa kabisa na ban ya miaka kadhaa. Wanahitaji hela za viingilio na matangazo ya TVs. By the way miujiza ipo kwenye football. Mbona PSG wakiangalia mechi hizi wanachanganyikiwa kwa jamani.
 
Miujiza ya kuwafunga Barcelona haipo. Hatuna wachezaji haiba ya Barcelona.
 
Tukithubutu kufanya hivyo tunalipishwa fine kubwa kabisa na ban ya miaka kadhaa. Wanahitaji hela za viingilio na matangazo ya TVs. By the way miujiza ipo kwenye football. Mbona PSG wakiangalia mechi hizi wanachanganyikiwa kwa jamani.
Hatukustahili wala hatukuwa na kiwango cha kuwatoa PSG, nadhani walitudharau kitu ambacho ni kibaya sana kwenye soka.
 
Ohii babaaaaa weka weka weka Baharia Wolve.............,naona turubai lishafika majirani tunasubiria kulifunga.Huyu Ole mmewahi kumpa mkataba,mwisho wa siku yasije kuwa yale yaliowakuta Chelsea kwa De Mateo,Man ni timu kubwa na si timu ya majaribio.
 
Back
Top Bottom