The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Hahaha, nimecheka kwa sababu yaani kukutana na Man City wakati huu unajikuta unaomba Mungu akuepushie hicho kikombe.
Majamaa yana njaa ya ushindi. Nasubiri sana kuona battle ya City vs Juve UEFA
Wolves wasumbufu sana, ila Leo wamekula kipigo vizuri.
Ila natumaini tutawaongezea maumivu, tutawachapa tena. Halafu Ole arudishe kile Kikosi kilichowachapa PSG. Valencia, Pogba na Martial wakae nje. Martial awe anaingia kama sub ya Rashford.Na hasira zao zote ni kwa Man U j4
Wale jamaaa wana roho mbaya sana saiv na Pep anawinda makombe 3, FA....ucl....ligi, na wachezaji anawaaminisha sana kwamba wanaeza beba yote
Tulisema humu Pogba ana utoto na masifa mengi tukaanza kuletewa simulizi za ubora, ooh ukitaja viungo watano bora Pogba hakosi.
Madrid wakimkomalia mimi naona auzwe tu, ela inunue mchezaji mpambanaji.
Nimeona kuna muda amefanya utoto wake Jones akamkasirikia vibaya sana. Hapo ndio ninapompendea Jones.
Ukiangalia ukubwa wa kikosi chao swala la kuchukua makombe yote, kilichobaki ni bahati tu.
Mjipange tu msimu ujao..no way out
Not a great performance, but this HAS to be Matic’s last season as a first-teamer. He’s shockingly past-it now.
Herrera had on one of his headless chicken days, and when you combine that with Young’s usual headless chickenry and Mata doing his best impression of a 12 year old pre-pubescent boy’s physical presence, we might as well not have a right side on the field.
Hiki kiingereza chako kaka ni kigumu mno, yaani kimezunguka kwelikweli..... sijaelewa chochote ukiachilia mbali majina ya wachezaji. That is round-about english
Hiki kiingereza chako kaka ni kigumu mno, yaani kimezunguka kwelikweli..... sijaelewa chochote ukiachilia mbali majina ya wachezaji. That is round-about english
Hata Rash aanze benchiIla natumaini tutawaongezea maumivu, tutawachapa tena. Halafu Ole arudishe kile Kikosi kilichowachapa PSG. Valencia, Pogba na Martial wakae nje. Martial awe anaingia kama sub ya Rashford.
Kwa upande wangu ni Lukaku..labda hayupo fit
Ole ana mzigo mzito sana,
Hii timu bado bado sana.
Akili za Mata angekuwa na nguvu angeisaidia sana Manchester United
Hii timu shida ni viungo na bek 2 na 3 wa msaada maana hivi shaw akipata injury inakuwaje? Kuna kitu anaongeza
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hatuapaswi kucheza counter attack tunapokutana na timu ndogo kama Watford
Sent using Jamii Forums mobile app