Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pale kati kuna kauvivu flani hiv. Haswa pogba na matic.
Matic age ni kubwa sasa.. kiwango kinashuka..anacheza kama vile amechoka sana. Pogba nae utoto mwingi sana.. why?

Kama goli la mwisho mabeki wesimama tu wanatazama

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulisema humu Pogba ana utoto na masifa mengi tukaanza kuletewa simulizi za ubora, ooh ukitaja viungo watano bora Pogba hakosi.

Madrid wakimkomalia mimi naona auzwe tu, ela inunue mchezaji mpambanaji.

Nimeona kuna muda amefanya utoto wake Jones akamkasirikia vibaya sana. Hapo ndio ninapompendea Jones.
 
Ile Man city anashinda kweupe labda mtafute timu nyingine muegemee.
Half em muwe serius kesho, si unajua mpo kweny race ya ubingwa? Shindeni kesho muoneshe kweli mna machungu na ukame wa kutosha wa kuchukua kombe.

Hahaha, nimecheka kwa sababu yaani kukutana na Man City wakati huu unajikuta unaomba Mungu akuepushie hicho kikombe.

Majamaa yana njaa ya ushindi. Nasubiri sana kuona battle ya City vs Juve UEFA
 
Tulisema humu Pogba ana utoto na masifa mengi tukaanza kuletewa simulizi za ubora, ooh ukitaja viungo watano bora Pogba hakosi.

Madrid wakimkomalia mimi naona auzwe tu, ela inunue mchezaji mpambanaji.

Nimeona kuna muda amefanya utoto wake Jones akamkasirikia vibaya sana. Hapo ndio ninapompendea Jones.
Apart from pogba ,

Kuna mchezaji mwingine umeona amecheza vibaya.

Sent using simu mbovu
 
Back
Top Bottom