Damn.... To be satisfied kwa mwanadam ni mtihan aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
aahahaaa! Ni timu yangu Mkuu, I satisfy only inapocheza vizuri. Goli lile la Martial halijanipa furaha japo nimeshangilia. Second 10 kabla ya goli Martial alikosea kabisa pia kwa refa katili angepuliza offside. Refa huyu kawa fair kwamba wachezaji wa Watford wote walikuwa nyuma ya mtoa cross (Jesse Lingard).
 
Dah Manchester yangu inakatisha tamaa. Kikosi cha wachezaji wa kwanza kinaposhindwa kuleta matokeo mazuri halafu sub tunawachezaji kama kina Dalot, huu ni msibani kwa kweli timu ifanye usajili wa kueleweka la sivyo Ole msimu ujao atapata aibu kubwa sana!
 
aahahaaa! Ni timu yangu Mkuu, I satisfy only inapocheza vizuri. Goli lile la Martial halijanipa furaha japo nimeshangilia. Second 10 kabla ya goli Martial alikosea kabisa pia kwa refa katili angepuliza offside. Refa huyu kawa fair kwamba wachezaji wa Watford wote walikuwa nyuma ya mtoa cross (Jesse Lingard).
Thats magic side of football mkuu... Unaeza cheza vzur na usipate matokeo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aahahaaa! Ni timu yangu Mkuu, I satisfy only inapocheza vizuri. Goli lile la Martial halijanipa furaha japo nimeshangilia. Second 10 kabla ya goli Martial alikosea kabisa pia kwa refa katili angepuliza offside. Refa huyu kawa fair kwamba wachezaji wa Watford wote walikuwa nyuma ya mtoa cross (Jesse Lingard).
ile si offside wala si huruma ya refa
 
Back
Top Bottom