Ed Woodward

David Moyes alihojiwa na mambo ambayo aliongea kuhusu muda wake ndani ya United ilikuwa swala la usajili na alisema kwamba Fabregas Kroos na Bale ndio wachezaji aliowahitaji chaguo la kwanza na Fellaini alikuwa chaguo lake la nne au tano.

Louis Van Gaal naye wiki hii amehojiwa kuhusu United naye amesema kwamba alikuwa anahitaji straika wa daraja la kwanza lakini akapewa chaguo lake namba 4 ( Falcao ) .

Jose Mourinho naye aliwahi kusema kwamba hakupata wachezaji wengi ambao ni chaguo lake namba moja akaishia kupata chaguo namba mbili .

Leo hii kwenye tetesi tu sio taarifa rasmi kwamba Uongozi wa Man United umeripotiwa kuridhika na kazi aliyoifanya Ole Solskjaer kwenye safu ya ulinzi kwahiyo wameona hawana sababu ya kutumia Pauni Milioni 50+ kwa usajili wa beki mpya.

......................................................................................

Sasa soma hii , nimesoma mahojiano ya LVG amesema kwamba kutwaa taji la FA Cup ndio ilikuwa mafanikio yake makubwa katika Carrier yake ya ukocha .- Huyu ni kocha aliyetwaa mataji mengi ikiwemo na UEFA.

Jose Mourinho aliwahi kusema kwamba kumaliza nafasi ya pili kwenye ligi ilikuwa moja ya mafanikio yake bora akiwa kocha


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Natumaini second half watacheza vizuri zaidi. First half sijaifurahia japo tunaongoza. Kwa wachezaji makini tulipaswa kuwa na goli 3 HT.
 
Back
Top Bottom