radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Shaw ni mchezaji wetu bora msimu huu kwa nionavyo.
Kabisa ana kiwango cha kueleweka
Sent from my iPhone using Tapatalk
Shaw ni mchezaji wetu bora msimu huu kwa nionavyo.
Naona hamasa imewaishia sasa....
Pogba aangalie tabia zake. Zina icost team. Yes anakiwango kizuri lakin attitudesio kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa ana kiwango cha kueleweka
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ila naona michezo ijayo Matic apumzishwe Scott apewe nafasi.
Rash sidhani km anaweza kaimprove zaidi ya hapo. Madogo wetu wale 3, sidhani km wanaweza kaimprove zaidi ya hapo waliopo Martial, Rash na JesseNaungana na ww lukaku pia mzur mipira ya juu ni rahisi kubadili mtindo wa timu mkibanwa rashford si mzur juu bado mdogo ajifunze kwanza
Sent from my iPhone using Tapatalk
Matic ilitakiwa awe anatokea benchi mkuuTatizo mkuu sio matic shida ni herrera na pogba hawapo vizur hizi mech kama nne hiv
Sent from my iPhone using Tapatalk
Rash sidhani km anaweza kaimprove zaidi ya hapo. Madogo wetu wale 3, sidhani km wanaweza kaimprove zaidi ya hapo waliopo Martial, Rash na Jesse
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mkuu sio matic shida ni herrera na pogba hawapo vizur hizi mech kama nne hiv
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wamaweza wasiweke nguvu nyingi sana kwenye hiyo game, maana weekend inayokuja wana game ya Watford nusu fainali FA Cup ambapo kwao ni mechi muhimu zaidiNa hasira zao zote ni kwa Man U j4
Nimeshindwa kumuelewa Herrera,Tatizo mkuu sio matic shida ni herrera na pogba hawapo vizur hizi mech kama nne hiv
Sent from my iPhone using Tapatalk
Rash ni mzuri ila sio kama Waingereza wanavyojaribu kutuaminishaRash sidhani km anaweza kaimprove zaidi ya hapo. Madogo wetu wale 3, sidhani km wanaweza kaimprove zaidi ya hapo waliopo Martial, Rash na Jesse
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, miaka 21 katika mpira bado tu ni mdogo? Mbona akina Ronaldo, Rooney, Messi katika miaka hiyo walikuwa na viwango vya juu? Dogo ndo mwisho wa kiwango chake hapo. Hakuna cha umri hapo.Rashford anaweza tena vizur ila sio lingard pale yupo mwisho jessey wakuuzia cardif yule hata wolves hapat namba
Sina wasiwasi na rashford kuna vitu anaonesha bado mdogo
Sent from my iPhone using Tapatalk
1. Sidhani kama ni sahihi kuwalinganisha Mess na Ronaldo na hawa martial na rashford. Hizi ni dunia mbili tofauti. Na tatizo tunadhani rashford atakuwa Ronaldo.Mkuu, miaka 21 katika mpira bado tu ni mdogo? Mbona akina Ronaldo, Rooney, Messi katika miaka hiyo walikuwa na viwango vya juu? Dogo ndo mwisho wa kiwango chake hapo. Hakuna cha umri hapo.