Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Naangalia hizi nafasi wanazozikosa Watford unazani Barcelona wataziaachaWoga wa nn wewe. Hiv unaangalia mech ya Barca saiv, kama huangaliii em tulia
Naangalia hizi nafasi wanazozikosa Watford unazani Barcelona wataziaacha
Pogba anazingua na wachezaji wa mbele wakipoteza mipira ndio basi tena wanakabia MachoHatuchezi vizuri,sijui kama ni mimi pekee naona tatizo letu lipo katikati ya uwanja zaidi na sio nyuma.
Habari ndio hiyo, Solskjaer keshapewa shavu. Kamaliza kazi. Sasa hivi huu ndio mziki mpaka anafukuzwa.Hatuchezi vizuri,sijui kama ni mimi pekee naona tatizo letu lipo katikati ya uwanja zaidi na sio nyuma.
Sijui approach gani labda ya bahati kujisemeha watoto wa mjini mpira unadundaKweny mpira ndivyo ilivyo. Kila mech ina approach take



Pogba anazingua na wachezaji wa mbele wakipoteza mipira ndio basi tena wanakabia Macho
Martial amekosa kujiamini kabisa, labda kama Ole kamwambia asiwe anajaribu awe anatoa pasi tu.Martial anafanya nn humu uwanjani..si atoke, lukaku aingie
Martial anafanya nn humu uwanjani..si atoke, lukaku aingie