Tokea adidas wapewe dili la Jezi zetu naona wanatoa vitu vya kawaida sana..Nike walikuwa wanatuletea vitu vikali sanaLeaked jezi msimu ujao
![]()
ondoa lindeloff weka phil jones kwa siku ya leoMkuu sidhani kama Leo tutapoteza pointi..sitegemei hilo kabisa..
Mimi natoka hii
De Gea
Dalot Lindelof Smalling Shaw
Herrera Matic Pogba
Lukaku Rashford Martial
Leo ni kipigo tu hakuna namna..
ondoa lindeloff weka phil jones kwa siku ya leo
Leo ni kipigo tu hakuna namna..
Uyo Ole anaeza potea mapema kwenye ramani ta soka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Leaked jezi msimu ujao
![]()
Hv Lukaku na Rash ni nani ni threat kwa opponent? Ila Pereira, Fred na Tominay wanatakiwa kuwa wanapata dakika za kucheza, so wabaya.
Kwa upande wangu ni Lukaku..labda hayupo fitHv Lukaku na Rash ni nani ni threat kwa opponent? Ila Pereira, Fred na Tominay wanatakiwa kuwa wanapata dakika za kucheza, so wabaya.
Sent using Jamii Forums mobile app